Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Nataka ninunie vifaranga TU, sh ngapo wakuu
 
Aisee sipati picha kuku kuanzia mmoja, hadi 100 hadi 1000 hadi 10,000, kwanza how do you count them hadi upate hiyo idadi?? Kuku 10,000 wanachukua eneo lenye ukubwa gani!??
Rahisi tu, Kuna tag unawavalisha miguuni zinakuwa za rangi tofauti tofauti unaweza weka Kila rangi kuku 500
 
Kuna mfugaji anafuga kuku wa kienyeji huwa anawalisha starter wiki 2 baada ya hapo anawachanganyia chakula simple tu na anawauza kwa Bei ya elfu 10_ 12 @ mmoja wanakuwa wa kubwa,kuliwa kama saso au kroiler.
 
Reactions: PYD
Sawasawa mkuu
 
Sawasawa mkuu
 
Sawasawa mkuu
 
Sawasawa mkuu
 
Ndomana nmesema baada ya majaribio kadhaa kaka nikikuonyesha kuku wangu wa kienyeji wa miezi mitatu unaweza kukataa ukazani ni wa miezi 6View attachment 2739229
Usirudi nyuma mkuu uko sahihi sana! Chakula cha kuku siyo tu kuwatupia pumba za mahindi na mashudu ya alizeti bali kuna mchanganyiko maalum kwa kila daraja la kuku. Kwa mfano wewe una kuku wazazi unawapa chakula cha kuku wa nyama, wapi na wapi hii? Growers unawapa cha kuku mzazi, utachukia ufugaji hakika!
 
Anafunga wa kienyeji ama kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…