Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Wewe ndo hujui, huo si ugaidi. Ugaidi una lengo la kushinikiza serikali/taasisi flani kufanya au kuwapa wanachohitaji. Sasa hawa wa tz wanahitaji nini maana hawajajitokeza.

Unaongelea tukio lipi linaloashiria ni ugaidi?
 
Kama hukifafanui hicho kitu "moles" hamna haja ya kukiandika.

mole1
mōl/
noun
plural noun: moles
  1. 1.
    a small burrowing insectivorous mammal with dark velvety fur, a long muzzle, and very small eyes.
  2. 2.
    a spy who achieves over a long period an important position within the security defenses of a country.
    synonyms: spy, agent, secret agent, undercover agent, operative, plant, infiltrator, sleeper, informant, informer; More
    informalspook;
    archaicintelligencer
    "an undercover mole"
    • someone within an organization who anonymously betrays confidential information.
 
Huo ni mpango wa kushindwa malengo fulani .wahusika wanafanya hayo kutisha wengine badae wanaotishwa watajibu hapo utamu utakuja.naamini kilichotokea msaanii kutekwa na Rc kuahidi kupatikana basi hakuna shaka gov.inajua .bashite ni mjuaji ktk hili na yuko kwa nguvu ya baba J. Iko siku watajutia na damu na maumivu ya hao wote yatakua juu yao na familia zao.kwani mchuma janga hula na wa kwao.

Msanii yupi unaemuongelea?
 
as it is alleged, the state organs hijacking innocent citizens and subjecting them to tortures

Who alleged?

Why discussing simple evacuations and call them hijacking? Didn't you hear real terrorism acts in the past few days other then mere "alleged" case?
 
ni akili inatumika kupumbaza tuu.


hujawai kuona majambazi wanatembeza kichapo na alietoa ramani anatembezewa baadae wanagawana.

Sijawahi kuona hilo.

Hujasikia kuwa wenyeviti wa CCM wameuliwa kinyama huko Mkuranga na Rufiji?
 
Swali zuri sana mkuu
kama kuona hujawai kusikia je?

unaanza kutoa mifano ya kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo. hiyoo ni dalili moja wapo yakushindwa kujitetea.

Hapana, huo wa kuuawa wenyeviti wa CCM si mfano ni ukweli.

Unaonesha uko biased, akikamatwa mtu anaemtukana rais akatiwa adabu unakuona ni ugaidi lakini wakiuliwa watu chungu nzima kwa kuwa hawako chama unachokishabikia unaona ni mfano.

What a way of thinking.
 
Back
Top Bottom