Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

Mzee ni hyo comment yangu ndo imekutoa povu lote hilo au umekunywa chai na sabuni asubuhi hii...
Nakuelekeza tu mzee, inaonesha uelewa wako mdogo sana. Ni msaada tu ndugu utoke gizani. Wewe utakuwa umekula ugali wewe aflatoxins, Hehehehe!!
 
Haya ulipocopy na kupaste na hayo maswali yako ungejaribu kupitia comment za watu utapata majibu...otherwise tutakufanyia ziara ya kushitukiza
 

Somo zuri sana, tusaidie reference ndugu ili tuwanufaishe na wengine
 
Nakuelekeza tu mzee, inaonesha uelewa wako mdogo sana. Ni msaada tu ndugu utoke gizani. Wewe utakuwa umekula ugali wewe aflatoxins, Hehehehe!!
Jaribu kuangalia comments zenye liked nyingi kwenye hii mada ndo utakua unaongea na nani na siyo kukurupuka na kukashifu watu
 
Inatege
Jaribu kuangalia comments zenye liked nyingi kwenye hii mada ndo utakua unaongea na nani na siyo kukurupuka na kukashifu watu
Inategemea na level yako ya understanding. Comments zote nimesoma, ila wewe unahitaji ziara ya kushtukiza.
 
may be ubishi ni jipu ulilonalo na linatakiwa kutumbuliwa otherwise litakucost
Sijaona point uliyoongea hapo nikakubishia zaidi ya kuongelea majipu yanayokuhusu. Utatumbuliwa tu, rudi shule ukasome microbiology ndiyo urudi hapa kucomment.
 
mtoa mada unapoint ila wala dona watakubishia sana cha msingi umetimiza wajibu wako wa kutuelimisha
 
Ntakuwa wa Mwisho kuamini hii habari, Kwa Tanzania unga wa Sembe sio wa zamani sana, miaka yote tumekulia dona na mpaka wa leo vijijini bado wanaendelea na hilo dona na sijawahi kuona madharabya hiyo sumu,
Wacheni kuwatisha watu
 
hiii
research umefanya wapi acha kuzua mambo bila data

babu mzaa babu alifariki 1993 akiwa na miaka 103 babu yangu alifariki na miaka 75 bibi bado anaishi ana 90 na anakula dona na hajawahi kupata hiyo kansa mimi baada ya kuja mjini nilikua nakula sembe tangu 2010 nakula dona sina kansa na siwezi kuipata

inaonekana hujui source kubwa ya kansa ninini

kitu amabacho ungesema jamani jitahidini kuosha mahindi ili kuondoa sumu inayotumika kuhifadhia
lakini nijiulize ninani anaesaga sembe na kuosha mahindi zaidi ya gunia 10-20 anazokoboa kila siku ????

tusikurupuke
 
tutakula vitu vya kufisha wala hatutazulika hivyo mm nitaendelea kula dona mpaka basi
maana kila kitu siku ni sumu tule mawe sasa
 
unless uniambie kuna mahindi ya GMO labda unayoyajua wewe yenye viatilifu vya aina hiyo
kitu ambacho sijasikia Labda ndugu zetu wa TFDA NA Kilimo mtujuze.
 
Everything that we eat is poison in nature...! Hapa ni kucheza na mizania utatumia sustainably mchezo kwisha hiyo sumu ya sembe madhara yake yatakuwa kodogo after all ni lazima mahindi yawe na ukungu sana!
 
aisee kwa hili nabisha labda kama mahindi yaliyopandwa kwa wiki moja ...
 
Sio kweli hata kidogo. Dona ni unga salama kwa afya ya mtumiaji. Ni vyema tuwe tunasafisha mahindi kabla ya kuyasaga ili kuondoa dawa za kuhifadhia mahindi hayo.
 
Hila makapi mlo au 'fibre' no muhimu sana kuliko sembe ambayo ukila madhara yake ni makubwa sana.Nafikiri ungeshauri watumiaji wa unga wa dona,wajitahidi kuandaa mahindi wenyewe kwa kuondoa mahindi yaliyooza,kuhakikisha hayana uvundo na kuyasafisha vizuri kuyanika juani mahali pa salama na kuyasaga tayari kwa kutumia.Ni kweli aflatoxin ipo sana kwenye nafaka has a mahindi karanga maharage na ina ina madhara lakini lazima tuifundishe jamii yetu mbinu za kuifadhi nafaka na kizituna.
 
Atakuwa katumwa na wafuga kuku , maana siku izi wanakosa pumba za kuwapa kuku
 
Nimezaliwa kijijini nimekulia kijijini nina miaka zaidi ya thelathini mjomba wangu ana miaka themanini hatujui kansa ninini.Wewe utakuwa mgonjwa bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…