Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Pia Idd Amin aliwahi teka ndege ya Israel
Yaaps 1976 kama sikosei, na sio kama ndio mtekaji, ila kuhifadhi watekaji waiokua Wapalestina na Wajerumani wawili, Ndipo ikaleta Operation Entebe
 
Lazima wafanyiwe assessment unaweza Kuta Taliban ndio walidandia ndege Ili waje kufanya ugaidi Us ,vetting lazima

Marekani n chaguo la kwanza kwa mtu yeyote tajiri au maskini nasio kazi rahisi kuingia marekani na kukubaliwa kuwa mmarekani au hata mkimbizi.

Hao jamaa Wana mchujo mkali Sana wa kukukubali hata Kama unaenda kutembea tuu
 
Kumbe Baloch ni jamii ya Afghan huku Bongo hasa mbarali wanaitwa waburushi
 
Vijana wengi watanzania walijitolea kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao na kwenda kigoma kwenye kambi miaka mwishon 1990 na mwanzon 2000 sema uvumilivu unahitajika minimum n 2years ukiwa na bahati Sana 6months sijui sikuhz kumekaaje
Hahahaha sasa kumbe ilikuwa easy kwanini watu walitumia njia ndefu kuingia south Africa sijui
 
hapo sawa
 
Pia Idd Amin aliwahi teka ndege ya Israel
Ile ilitekwa na wa Algeria katika kusoma location baada yakusoma Mambo haziendi ndo wakaamua kwenda entebe.

Ile stori n tamu sana ukipata simulizi yake Idd Amin alivamiwa bila kupewa taarifa waisraeli iliwabid watokee upande wa Tz bukoba na kurusha ndegezao kwa chini sana na hatimae wakawaokoa watu wao
 
Hapo Museven kashavuta mpunga wake wa maana
 
Hahahaha sasa kumbe ilikuwa easy kwanini watu walitumia njia ndefu kuingia south Africa sijui
Connection ilkua inshu na n watu wa Kanda ya ziwa ambao walikuwa na interest za USA ndo walikuwa wanazamia kigoma.

Pia mkuu kigoma ya enzi zile sio kigoma hii unayoisikia sasa kule ilkua ukienda kule n umejizira kweli kweli ndomana watoto wa Tmk, Magomeni, ilala na kinondoni isingekuwa option rahisi kwao
 
 
Wataleban hawana utani kwenye Sharia Ukizini unapigwa mawe hadi unakufa na ukiiba wanakata mkono. Wanawake wote hakuna kufanya kazi za kuajiriwa wote ni mama wa nyumbani kazi yao moja tu na inajulikana.
nimeshajibiwa kwanini wachache ndio wanakimbia mkuu . asante
 
Mkuu ongeza nyama kuhusu hizi jamii nahitaji kujua zaidi.
 
Inawezekana huu uwanja wa Entebe simulizi zake zipo kwenye Quran ila hatuzitambua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…