reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Yaaps 1976 kama sikosei, na sio kama ndio mtekaji, ila kuhifadhi watekaji waiokua Wapalestina na Wajerumani wawili, Ndipo ikaleta Operation EntebePia Idd Amin aliwahi teka ndege ya Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaps 1976 kama sikosei, na sio kama ndio mtekaji, ila kuhifadhi watekaji waiokua Wapalestina na Wajerumani wawili, Ndipo ikaleta Operation EntebePia Idd Amin aliwahi teka ndege ya Israel
Mtwara yote ni mwendo wa deiwaka tu bromtwara sehemu gani nije nipige deiwaka aisee[emoji2]
Lazima wafanyiwe assessment unaweza Kuta Taliban ndio walidandia ndege Ili waje kufanya ugaidi Us ,vetting lazima
Kumbe Baloch ni jamii ya Afghan huku Bongo hasa mbarali wanaitwa waburushiAfghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.
Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
Hahahaha Zanzibar pana fujo sana wangetibuana hao😂wangewaleta Zanzibar au unasemaje?
Hahahaha sasa kumbe ilikuwa easy kwanini watu walitumia njia ndefu kuingia south Africa sijuiVijana wengi watanzania walijitolea kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao na kwenda kigoma kwenye kambi miaka mwishon 1990 na mwanzon 2000 sema uvumilivu unahitajika minimum n 2years ukiwa na bahati Sana 6months sijui sikuhz kumekaaje
Hao jamaa hata 10 tuu wanachkua nchi mseven atainjoiHahahahhahahahah kmmmk walai 😂😂😂😂😂 kwani hazifai kwenda au?
Wako Iran, Pakistan na AfghanistanKumbe Baloch ni jamii ya Afghan huku Bongo hasa mbarali wanaitwa waburushi
hapo sawaHaina maana kwamba USA ndio walikuwa responsible kwa ajili ya kulipa wanajeshi wa Afganstan. Wale walikuwa ni waajiriwa na serikali/nchi ndiyo yenye jukumu la kufanya hivyo.
Marekani walikuwa wanatoa mafunzo na kuwajengea uwezo. Ila sasa corruption ndani ya serikali naamini imeleta watu kutopata walichokuwa wanapaswa kupata.
Ile ilitekwa na wa Algeria katika kusoma location baada yakusoma Mambo haziendi ndo wakaamua kwenda entebe.Pia Idd Amin aliwahi teka ndege ya Israel
Hapo Museven kashavuta mpunga wake wa maanaYaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
Connection ilkua inshu na n watu wa Kanda ya ziwa ambao walikuwa na interest za USA ndo walikuwa wanazamia kigoma.Hahahaha sasa kumbe ilikuwa easy kwanini watu walitumia njia ndefu kuingia south Africa sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anataka kuwapa kazi FBIYaani we ulitegemea zile sura wazipeke Washington?
Ile ilitekwa na wa Algeria katika kusoma location baada yakusoma Mambo haziendi ndo wakaamua kwenda entebe.
Ile stori n tamu sana ukipata simulizi yake Idd Amin alivamiwa bila kupewa taarifa waisraeli iliwabid watokee upande wa Tz bukoba na kurusha ndegezao kwa chini sana na hatimae wakawaokoa watu wao
hivi tofauti ya waarabu na waajemi Ni
nini?
ok.. . ila hizi nchi za mashariki ya kati zinaishi kama vile wapo karne ya pili bwana .Hao wanatofautiana itikadi na wa Taleban yani kama ilivyo waislamu wa “Sunni” na “Shia” so moto lazma uwake na wa Taleban wabababe kichizi
nimeshajibiwa kwanini wachache ndio wanakimbia mkuu . asanteWataleban hawana utani kwenye Sharia Ukizini unapigwa mawe hadi unakufa na ukiiba wanakata mkono. Wanawake wote hakuna kufanya kazi za kuajiriwa wote ni mama wa nyumbani kazi yao moja tu na inajulikana.
Mkuu ongeza nyama kuhusu hizi jamii nahitaji kujua zaidi.Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.
Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
Inawezekana huu uwanja wa Entebe simulizi zake zipo kwenye Quran ila hatuzitambua tuBasi uganda wako na bahati sana kanda yetu, maana hata israel ya leo kama wasingekataa ungekuta wako uganda kwa sasa.
Hata matukio mengi yamewahi kutokea uwanja wa ndege wa entebe, na hata la sasa litawainua mno!
Ajabu kwangu hao waasi hawaoni aibu kukombiwa na wananchi wao?
Lakini pia ni jinsi gani africa isivyo na thamani mbele ya wenzetu, tunafanywa kama jalala!