Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

Na kitu kimoja ni kuwa watu wanaogombana huwa hawagombani siku moja tu. Wengi huwa ni kawaida yao. Utawaamulia hadi lini maana mwishowe watakuingiza kwenye ugomvi wao, "Muulizeni cariha , anajua yote."
Ugomvi zao Huwa haziishi Mimi neighbor wangu kila siku alikuwa anagombana na mumewe kisa michepuko wanaanza kupigana Hadi kumdondosha mtoto then kesho wamepatana loh Mimi nilikuwa sihangaiki Kuna watu raha ya mapenzi wagombane ndio raha kwao
 
Watu wengi wameuawa kwa kuingilia ugomvi usiowahusu.
Wenye hasira waache watandikane kwanza...wameshiba ndio maana wanapigana
Tena hawapiganii kwako, hawakupiganii wewe kwanini uingilie kama ni utaratibu wao je πŸ˜…πŸ˜…
 
Mbona kila siku wanaume tunazidi kulalamika kwa vitu vidogo tuΒΏ?
 
hapo alikuwa anakutafutia sababu ili akachepuke, cha msingi msubiri aliwe huko na namna atavyoumaliza huo ugomvi hautakaa ujue nini kilitokea.
 
Kama mambo yenyewe ndo haya Basi wanaume tunapungua kwa Kasi Sana.

Your wife just got married to a coward and timid boy who's typically you.
 
Tandika makofi hiyo ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…