Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

Mkuu wewe ungeenda ?? Kuufuata ugomvi usioujua usiku wa manane ni kufuata jinai ya bure...
Sipo kwenye maamuzi ya kwanini hajaenda kuna usahihi wa kutokwenda..
Nipo kwenye mwanamke wake ana jeuri gani ya kumsusia kitanda kwenda kulala kwingine, tayari hapo kuna mushkeli
Lakini pia hizi si habari nzito kwa mwanaume kusimulia simulia na kutaka ushauri.
 
Sikatai, nafikiri sikuwa na haja ya kuingilia kwa wakati ule.
Ugomvi wa Wanandoa unaotumia maneno zaidi hua anashindaga Make. While ugomvi unaotumia zaidi nguvu hua anashindaga Mume, Ceteris Peribus.

labda aliona huruma mwamamke mwenzake anapigwa akataka ukamuokoe.

Tukirudi kwenye tukio, kuamulia ugomvi wa majirani au watu unaowajua ni jambo jema kuzuia wasiumizane. Assume moja awe na hasira aje amchome kisu mwengine mwishowe utajilaumu kua kama ungeenda yasingetokea hayo.

Lakini napo kitendo Cha wife wako kususa chumba sio Cha kiungwana. Sasa anasusa kitanda au chumba ili iweje? Mpaka lini? Kama hukwenda kuamulia ugomvi akihama chumba ndio itageuka kua umeenda?

Sina hakika ndoa (dini) yenu ikoje but ingekua mimi namuacha kwanza ikifika wiki hajarudi chumbani namrudisha kwao na verbal warning
 
Mweleze kuwa hayatuhusu , je ukiuliwa Kisa ushenzi wao Tena washtakiwe , wanasumbua jamii mie zamani nilienda kumshtaki jirani yetu Kisa analewa anakuja kumpiga mkewe mshenzi yule halafu hatulali akafukuzwa hapo
 
Ugomvi wa MKE na mume hauamuliwi wache wayamalize wenyewe.mwaka Jana pale kwenu mamba royal complex jamaa aligombana na mke wake nikaenda kuamulia kistaarabu kilichonikuta ni kuambulia chupa ya bia kichwani ndo mana m ugomvi was mke na mume Huwa c amuliiagi waache wauane mkuu
 
Naijua hyo imewahi nikuta[emoji23][emoji23]

Kuamuli ugomvi wa watu ni kipengele

Ilikuwa hivi......dada na dogo( wakike) wanagombana sehemu tulipo rent mwanaume nilibaki peke yangu .....ikabidi nikimbilie kumdaka sister.....iseeh sitakuja kusahau kama mnavyojua pisi za kinyaki ( kama zinapiga gym[emoji23][emoji23]). Kidume nilirushwa mbali huko na kwenda kupiga kiuno kwenye msingi wa nyumba ...nlikula [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mm nilimtoa jamaa police kapelekwa na mkewe baada ya wk nikakutana nao wameshikana mahaba mazito,,
Toka hapo siingiliagi ugomv kabisa
 
Ulifanya Jambo la msingi Sana kutoenda na hiyo ndiyo busara,,,,Uzuri wa mtu ni kutoingilia yasiyomuhusu,ungekimbilia huwezi jua yangekukuta makubwa
 
🀣🀣🀣 umeua!!
 
Shida iko wapi kwani?
 
Mkeo analiwa na jamaa nini, maana anajali sana. Alitaka nawe uende ukahakikishe kama jamaa ana mtu ndani ya nyumba ili asiendelee tena kuliwa na jamaa baada ya kupata uhakika. Huyo mkeo alitaka nawe uende ukamshike ugoni huyo jamaa ili yeye apate kisingizio cha kumtema, kuondoka kwake chumbani kwako ilikuwa si hasira kwako ila alikuwa ana hasira tu na huyo jamaa kuwa na mchepuko hapo kwake. Wanawake wana ujinga wa hajabu sanΔ….
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno[emoji23][emoji23]
 
Umefanya la maana sana ugomvi wa paa la mwenzako unaanzaje kuingilia. Kwanza unaweza ingilia na hamjuani ukaambulia kuangukiwa na matatizo kibao kusaidia polisi wao waache wauwane kama walikua wanabishana inamaana wanajiweza hongera kwa kuepusha shari na majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…