Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Usidharau hiyo hali, muone daktari si kwa kukutisha lakini inaweza kuwa dalili za saratani ya utumbo mkubwa.

Kula matunda na kunywa maji litre mbili au zaidi kwa siku.

Kula chakula chenye fibre kama makande, mharage, mchicha kisamvu wali wa brown au mkate huo wa brown.
 
Inaweza kuwa

Rectal/Anal Fissure hii inatokana na tabia mbaya,chronic constipation, anal injury

Ambayo remedies zake zipo natural na artificial

Natural:

kupaka mafuta ya mzeituni kwenye eneo linalotoa maumivu

Kukalia dishi lenye maji ya vugu vugu kwa dkika 10.

Kupaka mafuta ya Nazi kwenye eneo linalo toa maumivu yale burning.

Tiba zote hizo unazifanya ndani ya wiki 2 hadi 3.
 
Kwa hali ya sasa naweza pona nikianza tiba mapema?
 
Vipi kuhusu huo uvimbe?,kwa mfano nispokunya kwa masaa 48 hauumi kabisa na unaanza kupungua ukubwa ,kosa nikinya tu
 
Ila huo uvimbe Sawa yake ni kisu. Sikutishi ila ndio tiba ya kudumu. Hayo mengine yote ni FIBA baada ya hiyo procedure.
 
Maji na matunda najitahidi sana na kwa sasa kinyesi hakina damu ispokua ule uvimbe,na nisipokunya kwa saa 48 hali inatulia kama vile hakuna tatizo na uvimbe unaanza kusinyaa,kosa nikinya,baada ya nusu saa yanaanza maumivu taratibu theni yana poa,ila ni kwa ndani ya tundu.

Nashukuru kwa msaada wa maoni yako
Kabisa na kula hivyo vyakula vyenye fibre husafisha utumbo pia kumbuka kunywa maji.
 
Vipi kuhusu huo uvimbe?,kwa mfano nispokunya kwa masaa 48 hauumi kabisa na unaanza kupungua ukubwa ,kosa nikinya tu
Mkuu kuna pressure ambayo unaipeleka kwenye misuli ya haja kubwa ndio inapelekea kupata maumivu kila uki under go defecation.

Kwa case yako muone daktari mkuu.
Pia kama haupo Karibu na daktari unaweza anza na pottasium permanganate unaichanganya kwenye maji kisha unazamisha battocks hadi kiunoni kwa dakk 10 twice daily.
 
Ukienda hospitali watakufanyia kipimo kinaitwa colonoscopy.
 
Kikiwa kirefu kinafungwa uzi ili kuzuia blood circulation inayokiwezesha kiendelee kukua,kisha kinadondoka chenyewe.
Walaji wa Pili pili wanakuwa affected a lot,japo sina tafiti ya uhakika kuwa pilipili inapelekea shida kwa anus.
 
Nashukuru,asante sana
 
Kikiwa kirefu kinafungwa uzi ili kuzuia blood circulation inayokiwezesha kiendelee kukua,kisha kinadondoka chenyewe.
Walaji wa Pili pili wanakuwa affected a lot,japo sina tafiti ya uhakika kuwa pilipili inapelekea shida kwa anus.
Pia pombe nasikia haitakiwi,sijui ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…