AYMAN KILEO
New Member
- Mar 3, 2019
- 4
- 1
vizurii sanaNimewahi kupata hili tatizo, likaisha lenyewe baada kubadili mfumo wa ulaji.
Naomba utuelezee kidogo ulaji wako kabla na baada ya hilo tatizo.Nimewahi kupata hili tatizo, likaisha lenyewe baada kubadili mfumo wa ulaji.
Tuellimisha na sie utaratibu mzuri wa kula tuchukue tahadhariNimewahi kupata hili tatizo, likaisha lenyewe baada kubadili mfumo wa ulaji.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo ni bawasili mkuu, kula fiber kwa wingi itaondoka yenyewe, yaonekana hupati choo kwa wingi kila siku. Kawaida unatakiwa unye mavi mengi daily.
Dah nami ni mvivu kunya kinyama, naweza enda hata 3 days sijaingia uko.Hiyo ni bawasili mkuu, kula fiber kwa wingi itaondoka yenyewe, yaonekana hupati choo kwa wingi kila siku. Kawaida unatakiwa unye mavi mengi daily.
Kunya au kukojoa sio tendo la hiali, aacha uongo.We sema msosi ni shida, kama unashindia mihogo, kupata choo kila siku sahau.Dah nami ni mvivu kunya kinyama, naweza enda hata 3 days sijaingia uko.
Maji nimeshaanza dozi.
Pia papai kwa siku 5
Tuellimisha na sie utaratibu mzuri wa kula tuchukue tahadhari
Wahanga tumieni dawa inaitwa CONSTRELAX na NOVEL DEPILE CAPSULES. Ni virutubisho na vinatibu.
Zinapatikana maduka ya aina gan ya dawa?