Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Siku Tatu Nyuma Nilijigundua Nina Uvimbe (Kinyama) Sehemu Ya Haja Kubwa(Anus) Mwanzo Nilidhani Ni Jipu, Lakini Baadae Nikagundua Siyo Jipu.
Nikafuatilia Juu Ya Bawasiri Nikahisi Itakuwa Hivyo.

Lakini Uvimbe Huu Hauumi Nikiwa Haja Kubwa, Unaniwasha, Unaniuma Nikikaa, Nikitembea Na Hata Kuugusa.
Umejitokeza Pembeni Kidogo Ya Anus.

Wakuu Msaada Tafadhari Naombeni Dawa Ya Hii Kitu, Make Nimepitia Nyuzi Kadhaa Umu, Michango Mingi Ya Wana Jamvi Ni Oparesheni Ndogo, Hii Njia Kiukweli Ni Ngumu Sana Kwangu.

Mficha Maradhi Kifo Humuumbua. [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hiyo ni bawasili mkuu, kula fiber kwa wingi itaondoka yenyewe, yaonekana hupati choo kwa wingi kila siku. Kawaida unatakiwa unye mavi mengi daily.
 
Nakumbuka kuna nyuzi inahusu hii kitu iliwai kuzungumziwa humu jamaa alielezea vizulia sn
 
Hiyo ni bawasili mkuu, kula fiber kwa wingi itaondoka yenyewe, yaonekana hupati choo kwa wingi kila siku. Kawaida unatakiwa unye mavi mengi daily.
Dah nami ni mvivu kunya kinyama, naweza enda hata 3 days sijaingia uko.
Maji nimeshaanza dozi.
Pia papai kwa siku 5
 
Dah nami ni mvivu kunya kinyama, naweza enda hata 3 days sijaingia uko.
Maji nimeshaanza dozi.
Pia papai kwa siku 5
Kunya au kukojoa sio tendo la hiali, aacha uongo.We sema msosi ni shida, kama unashindia mihogo, kupata choo kila siku sahau.
 
huo ni mgolo,nadhani kuna tiba yake ila ukinya kimba gumu ndio uvimbe unaongezeka ukiuendekeza unakuwa kama puto na kunaonekana vizuri tu kwenye suruali kwa nyuma,unywe maji mengi ili kimba liwe laini lipiti kwa urahisi
 
Ok acha nikusaidie hakikisha unakula vyakula vyenye fibers za kutosha ili kuhakikisha unapata choo kwa wakati na vyakula hivo vya fibers ni kama mihogo na kisamvu

Na pia kula matunda ya kutosha yenye fibers kama maembe na mapapai yanasaidia sana ili usipate constipation ambayo italeta huo mgolo

Tatu hakikisha unakunywa maji ya kutosha, Fanya mazoez na epuka kukaa chini(kweny kiti) muda mrefu sana na epuka kukaa chooni muda mrefu(yaani kujikakamua sana)

Endapo umepata hii hali ukahtaji msaada wa dawa na matibabu yake nione PM nitakusaidia.
Tuellimisha na sie utaratibu mzuri wa kula tuchukue tahadhari
 
Hivi ni virutubisho vilivyothibitishwa na TDFA, karibu inbox....
Zinapatikana maduka ya aina gan ya dawa?

FB121C22-79E1-4F22-89EA-299A98B693B9.jpeg
 

Attachments

  • 7233CA1F-1F44-4CDC-B98D-A3D84E47EF23.jpeg
    7233CA1F-1F44-4CDC-B98D-A3D84E47EF23.jpeg
    42.5 KB · Views: 30
Huo ugonjwa unaitwa Bawasiri, mara nyingi hua unasababishwa na mtu ambae hupendelea kubana haja kubwa kwa muda mrefu au kupata haja kubwa ngumu na kwa shida (kwa kujikema/kujilazimisha kwa nguvu).

Una tiba zake za kihospitali (dawa), pia tiba za nyumbani mtu anatakiwa apendelee kula matunda sana (hasa Papai), juisi na maji kwa sana ili haja kubwa iwe laini pindi anapojisaidia. Na asiache siku mbili zipite bila kupata haja kubwa (ikipita siku mbili hua haja inakua ngumu).

Tiba ikichelewa husababisha mtu kutoa haja kubwa yenye damu nyingi, uvimbe kuongezeka na kumpelekea mtu kufanyiwa operation.
 
Back
Top Bottom