Mkuu njoo PMWakuu..bi mkubwa wangu anasumbuliwa sana hili tatizo,ashatumia sana hizi dawa za akina dokta mwaka..lakini hamna nafuu kabisa.sasa kama kuna mtu ashawahi kupona kwa njia nyingine tofauti tofauti msaada wenu wakuu..nipo tayari kupokea maoni yenu..tumekwama
1.ni hatari kiasi mpaka anajisaidia damu.
Tunahitaji maoni yenu wadau
Mkuu huyo mama yako anayo bawasiri ya ndani inayo sababishwa na upepo mbaya wa shetani aliye mkumba ndio maana akipata choo kinachanganyika na damu.Wakuu..bi mkubwa wangu anasumbuliwa sana hili tatizo,ashatumia sana hizi dawa za akina dokta mwaka..lakini hamna nafuu kabisa.sasa kama kuna mtu ashawahi kupona kwa njia nyingine tofauti tofauti msaada wenu wakuu..nipo tayari kupokea maoni yenu..tumekwama
1.ni hatari kiasi mpaka anajisaidia damu.
Tunahitaji maoni yenu wadau
Vp lkn miko anafuata?Wakuu, Bi mkubwa wangu anasumbuliwa sana hili tatizo, ashatumia sana hizi dawa za akina dokta mwaka..lakini hamna nafuu kabisa.sasa kama kuna mtu ashawahi kupona kwa njia nyingine tofauti tofauti msaada wenu wakuu..nipo tayari kupokea maoni yenu..tumekwama
1.ni hatari kiasi mpaka anajisaidia damu.
Tunahitaji maoni yenu wadau
DuhMkuu huyo mama yako anayo bawasiri ya ndani inayo sababishwa na upepo mbaya wa shetani aliye mkumba ndio maana akipata choo kinachanganyika na damu.
Anatakiwa atibiwe kutolewa huyo shetani aka pepo mchafu aliyeko tumboni mwake mama yako ndipo atakapo weza kupona maradhi yake.
Pasipo na hivyo utamaliza dawa zote kupona itakuwa ni hadithi kwa mama yako.Ukihitaji dawa toka kwangu utanitafuta kwa wakati wako.
Ngojea aje mzungu kukwambia utapata kuamini.
Sio wote,mimi kuna watu karibia watano kutoka humu nimewasaidia,wanaendelea vizuri....na tunawasiliana kwa ajili ya ndugu zao na watu wao wa karibu.Huu Uzi nimegundua umejaa matapeli sana, kuweni makini
Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako.Habari wakuu..
Nasumbuliwa na Bawasiri Mwaka wa 3 sasa. Je, ni Dawa au Tiba ipi ya Bawasiri?
Msaada Please!
Penny mambo vp ivi ulipona ilo tatizo la bawasili kwa matibabu gani?Ndugu wapendwa kwa pamoja, nawashukuruni sana wote mlioweza kutumia mda wenu kunisaidia katika hili tatizo. Nawaombeeni kwa Mungu awazidishie afaya na nguvu muendelee na miyoyo hiyo hiyo.
Msaada
hivi karibuni nilikua najiskia mwili kuchoka,kichwa kinauma,tumbo linaunguruma na kutokupata haja ndani ya siku mbili mpaka tatu,nilikwenda kupima typhoid,malaria,na haja zote...
Kivipi?Ugonjwa fala sana huo.