COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Mkuu njoo PMWakuu..bi mkubwa wangu anasumbuliwa sana hili tatizo,ashatumia sana hizi dawa za akina dokta mwaka..lakini hamna nafuu kabisa.sasa kama kuna mtu ashawahi kupona kwa njia nyingine tofauti tofauti msaada wenu wakuu..nipo tayari kupokea maoni yenu..tumekwama
1.ni hatari kiasi mpaka anajisaidia damu.
Tunahitaji maoni yenu wadau