Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
DuuuhBawasiri dawa yake ni operation peke yake.Hakuna dawa mbadala wa operation.
hakuna cha operation wala nini. wewe paka aloevera yale maji maji yake utakuja nishukuruNini dawa ya bawasiri nahisi Kama ninayo dalili
Ni operation ya kawaida ambayo haina tatizo lolote kama ilivyo operation ya appendixDuuuh
Wakuu naomba kujua tiba ya bawasili na madhara yake kwa mwanamke
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
.
Si kweli mkuu, dawa za asili ziko za kumwagilu kusaza 20/= ya kibongo muumba akitaka unasahau.Bawasiri dawa yake ni operation peke yake.Hakuna dawa mbadala wa operation.
Msaidie kumuunganishaKuna mdau hapa JF anayo dawa nzuri tu ya kienyeji ya kupaka
Ushauri mzuri, ila yeye anaogopa performance yake kitandani kuliko uzimaNenda hospital hii si dalili njema saratani ya utumbo mkubwa.
Ngoja natafuta ile postMsaidie kumuunganisha