Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

mkuu niwekee namba ya simu nitakupigia tuongee mzee wangu anatibu kwa dawa za jadi lakini kama hutajali.
 
Kiswahili maarufu ni BAWASIR. huo ni mshipa wa damu ukitoboa inakula kwako maana utatoka damu mpaka basi. Hospitali wanafanya operation ndogo kinatoka. Pia wamasai wanazo dawa za kutibu hayo makitu.

Nashukuru mkuu kinyoba nimeuzingatia ushauri wako mzuri Mungu akubariki.
 
Last edited by a moderator:
mkuu niwekee namba ya simu nitakupigia tuongee mzee wangu anatibu kwa dawa za jadi lakini kama hutajali.

Nimekupata mkuu mjepo namba yangu ya simu ni #0656676022 , nitashukuru sana kama nitapata tiba halisi ya tatizo langu.
 
Last edited by a moderator:
Bawasiri! Kitunguu saumu punje moja x3 kwa siku x siku10, maji mengi, mlo wa maharage na mapapai kwa wingi after 10 days kwisha habari yake bawasiri
 
Habari, mimi pia nina kinyama mithili ya ngozi ipo kwa nje kati ya uke na ------. Jee hiyo ni bawasiri??. Hakitoi damu wala hakina rangi nyekundu! Na hakijavimba jins kilivyo ni kama ngozi tu iliyo pamoja. Hakiumi wala hakiwashi. Nilienda hospitali nikapewa anusol. Kilinywea tu hakikuisha. Nimeenda tena dokta mwengine kaniambia nikalia maji ya vuguvugu niyachanganya na dettol. Pia kuna mtu kaniambia nipake mafuta mbarika napaka. Ila sina mafanikio. Na jee hiyo ni bawasiri kweli?? Maana kila nikilinganisha sifa zinatofautiana. Msaada plz.
 
BAWASIRI (HEMORRHOIDS)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri
Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?

Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu

Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.Dr.Henry Mayala
 
Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu alishawahi patwa na tatizo hili, naomba anisaidie, je niende hospitali au mitishamba?
Ila siumwi chochote labda nikikohoa au nikikaa kinauma na maumivu kwa mbali ,hapa nilipo sijielewi
Nipeni mwanga kama kuna madaktari humu.
Ntashukuru sana wakuu
 
Mara nyingi husababishwa na ukosefu wa choo hivyo ukipata vitu ambavyo vitasababisha kupata choo laini itakusaidia
 
Mkuu Uvimbe Sehemu ya haja kubwa itakuwa ni Ugonjwa wa Bawasiri

(HEMORRHOIDS)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri

Nje:

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.

Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?

Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu

Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.Dr.Henry Mayala
 
Asante sana dk. Mayala kwa maelezo yako mazuri umetusaidia sana kaka
 
duh, kwahyo njia bora na salama ni ipi? na upasuaji unaweza kuleta maumivu
 
Habarini humu ndani natumaini mu wazima wa afya. Mimi sio mzima jamani nasema hivi coz ninasumbuliwa na tatizo la kupata choo,kwani kinakuwa kigumu sana kiasi ambacho hutoka kwa shida kikiambatana na damu.

Nilishauriwa nile matunda mboga za majani kwa wingi bila kusahau maji ya kutosha, nimefanya hivyo lakini tatizo halijaisha jamani.

Nikaenda hospitali nikamweleza doctor kwa makini sana akanambia nipime choo baada ya hapo akaniandikia dawa wakat niko dirishani nachukua dawa nikaulizwa mbona umenyong'onyea kwani tumbo linauma sana?

Nikajibu siumwi tumbo akacheka akanipa dawa ambazo ni metronidazole na panadol nikaondoka zangu.

Nimetumia hizo dawa zimeisha bado tatizo liko palepale sasa najiuliza zile dawa zilikuwa ndizo au sizo? Kwasababu sioni hata dalili ya kupona maumivu wakati wa kujisaidia yako palepale naogopa hii hali pia napata shida jamani kila nikibanwa na haja nawaza maumivu pia damu inatoka wakat mwingne imechanganyikana na choo wakat mwingne inatoka mwishoni nikimaliza haja.

Msaada wapendwa.
 
Mimi sio Daktari mimi ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa ninakupa Ushauri wangu huu hapa.

Kwa matatizo ya kutopata choo Vizuri kisha ukipata choo kinakuwa ni kigumu na kikitoka kinatoka naDamu una Maradhi yanayoitwa Bawasiri au kwa jina la kitaalamu maradhi yako yanaitwa kwa jina hili ( hemorrhoids)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri
Nje:

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Bawasiri ya Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu kutopata choo laını
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja Damu
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi ya Uvuguvugu kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa

Na Maradhi mengine unayo hayo ya kufunga choo.
 
MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION): Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama

cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.
Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo.

SABABU ZA MARADHI HUSIKA:
(1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B. (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. (3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. (4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga. (5) Kutokunywa maji ya kutosha. (6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. (7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.

TIBA: Kanuni ya kwanza:

Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habitsoda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.

Kanuni ya pili: Unga wa sanamaki kijiko kimoja kikubwa, Unga wa tangawizi kijiko kimoja kikubwa, Unga wa habasoda kijiko kimoja kikubwa, na Asali robo lita. Dawa hizi zote zichanganye pamoja kwa kukoroga kwa kijiko. Kula kijiko kimoja kutwa mara tatu.

Kanuni ya tatu: Asali robo lita, na Unga wa Arki susi vijiko vinne vikubwa. Kula vijiko viwili vikubwa kutwa mara mbili.

Kanuni ya nne: Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya uvuguvugu ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga.

Kanuni ya tano: Kula kila siku asubuhi tende saba kabla ya chakula cha asubuhi. Tende hufanya choo kuwa laini. Mkuu.@MankaM tumia Dawa zangu kisha unipe feedback.
 
Hata mimi nimepatwa na tatizo kama hilo, nimeenda hospitali nikaambiwa na dokta kama mchangiaji wa kwanza hapo juu, sasa nimepewa dawa anusol natumia siku 5 then nikampe feedback baada ya week , ila naona kiuvimbe kinapungua.Sijui ntafanyiwa upasuaji au ntaachwa koz naona kinapotea , siku ya 4 natumia dawa
 
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Nashukuru doctor itabid nirud tena hosptal kufanya uchunguz upya
 
dalili za hemorrhoids hiyo ,,,,,,, jaribu kurudi hospitali ya uhakika ufanyiwe uchunguzi vizuri , hatimaye upate matibabu ya uhakika,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…