Huu ugonjwa wadau unaitwa bawasiri na tiba yake ipo,kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo hili kwa sasa ameshapona kupitia dawa za asili,sijajua upande wa pili wanafanyaje,ila ni ugonjwa mpya kidogo na ni tatizo kubwa ingawa waswahili tuna tatizo la kuficha maradhi.Kwa wanaowajua watu wenye tatizo hili,nawapa namba ya doctor aliyemsaidia jamaa yangu mpaka akapona.Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
Wahi haraka hospitali,upate matibabu. Inaweza ikawa kansa ukichelwa. Mi na ndugu yangu alichelewa kumbe ni kansaNdugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
sema kama ni wewe huyo mwenzako ulijuaje kama imeota karibu njia ya haja kubwa ulimkaguaje kama sio wewe!kama hajaingiliwa/hujaingiliwa sijui!
Wahi haraka hospitali,upate matibabu. Inaweza ikawa kansa ukichelwa. Mi na ndugu yangu alichelewa kumbe ni kansa
Ebwanaeee ulijuaje kaka kama kimeota karibu na tundu ya haja kubwa
Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
tumia anusol
Tumia anusol