Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Kuna tetesi kuwa wajawazito hawaruhusiwi kutumia dawa mara kwa mara, sasa hiyo anusol haiwezi kumuathiri mama na mtoto tumboni?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
nini sababu ya kuvimba vinyama sehemu ya haja kubwa?

Ukinya Hutawazi Vizuri. Karibu Nikutawaze na Tatizo Halitajitokeza Tena Kwani Nitatumia Dawa Ya *148* 01# Ok ktk Kukutibu. Pole Sana!
 
Unaumwa Bawasiri/Mgolo ( hemorrhoids)? Hii ni kutokwa damu wakati wa haja kubwa pamoja na maumivu makali. Nna tiba ya asili ya kutibu na kumaliza kabisa tatizo hilo,dozi ni siku 7 - 21 kutegemeana na ukubwa wa tatizo lako. Wengi niliowatibu wamesumbuliwa kwa muda mrefu na kuhangaika hospitali za kila aina bila mafanikio. Ni- PM kama una tatizo hilo ama nduguyo na unahitaji kupona/apone
 
Mimi sikatai wagonjwa wapo wengi. Lakin siyapo majukwaa husika?kama yapo kaziyake nini? Muds naomuondoe post hii ipeleken sehem huska.
 
Jamani naonbeni msaada juu ya huu ugonjwa ningependa kujua unatokana na nini,madhara yake nini na tiba yake.
 
Jamani naonbeni msaada juu ya huu ugonjwa ningependa kujua unatokana na nini,madhara yake nini na tiba yake.

Mnasumbuwa watu tu, muwe mnasearch kwanza kabla ya kuanzisha thread. Hii kitu tumeijadili kwa kina miaka iliyopita na dawa zipo.
 
pole sana. mi niliwahi kupata tatizo hilo. dawa iliyonisaidia ni mavi ya tembo. pata yael yaliyo makavu, tafuta kitezo. weka moto ktk kitezo. weka hayo mavi juu yake , vua nguo chuchumaa ukiwa kama unakalia hicho kitezo kuuelekea moshi. fanya hivyo kwa siku 7. inshaalha matokeo yatakuwa mazuri.
 
ilo tatizo hutokana na kujikamua sana ktk haja kubwa ambapo kuna vinyama hutoka nje na kurud katika hali ya kawaida, ila ukijikamua kwa nguvu mda mrefu mara nying ndipo hubak bila kurud ndani, ukipata mlo unatakiwa unywe na maji ya kutosha mara kwa mara ambapo baada ya wk mbil hadi tatu vinyama hurud ndani!
 
Mnasumbuwa watu tu, muwe mnasearch kwanza kabla ya kuanzisha thread. Hii kitu tumeijadili kwa kina miaka iliyopita na dawa zipo.

Sijakulazimisha ureply km nakuboa piga kimya co lazima u comment kila thread kaa ukijua sio kila mtu ksjoin humu mwaka juzi.
 
Sijakulazimisha ureply km nakuboa piga kimya co lazima u comment kila thread kaa ukijua sio kila mtu ksjoin humu mwaka juzi.

Huyu Matola ana kiherehere sana, kwa kweli sio mungwana Ana majibu ya watoto sana
 
Sijakulazimisha ureply km nakuboa piga kimya co lazima u comment kila thread kaa ukijua sio kila mtu ksjoin humu mwaka juzi.





EEE MWAYA,,TENA MWAMBIE AKOME KUSUTA WATU ATA HVO HAJASOMEA UDACTAR HUYU KAMBWELA,,,,
:boink:
 
BAWASIRI (HEMORRHOIDS)



Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri

Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.


Ndani
: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.


Je bawasiri husababishwa na nini?


Bawasiri husababishwa na;



  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa


Dalili za bawasiri



  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa


Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri



  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids



Vipimo na uchunguzi



  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)


Matibabu


Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri



  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji.@qn of sheba


 

ahsante sana kwa ushauri nashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…