Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 225
leo siku yatatu namaumivu makali sana sehemu yahaja kubwa kwandani kidogo,naogopa hata kujisaidia ndio balaa hata kukaa nakaa kwashida.kwenda hospitali naona aibu,nimegoogle nimeona anal fissure inalingalingana maelezo yake na ninavyo umwa mimi naomba msaada wenu wamaelezo nadawa!
Acha ushoga mkuu
leo siku yatatu namaumivu makali sana sehemu yahaja kubwa kwandani kidogo,naogopa hata kujisaidia ndio balaa hata kukaa nakaa kwashida.kwenda hospitali naona aibu,nimegoogle nimeona anal fissure inalingalingana maelezo yake na ninavyo umwa mimi naomba msaada wenu wamaelezo nadawa!
Ana stress za kuchapiwa
BAWASIRI HEMORRHOIDSNasumbuliwa na bawasiri nilishatumia dawa za hospitali lakin hakukuwa na mabadiliko.nilisoma huku jf dawa ya asili ya ganda la mgomba na kulitwanga then maji yake kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu ikanisaidia coz maumivu yameisha ila shida uvimbe bado upo .naomba mnisaidie ndg zanguuu dawa ya kumaliza huu uvimbe..! I
Qn of sheba @je uvimbe uliisha au bado upo? Alitumia dawa gani???
DAWA YA MARADHI YA BAWASIRI ZA AINA ZOTE
Ndugu zangu kichwa hapo juu chaweza kumfanya mtu ajiulize swali, je bawasiri zipo za aina ngapi?
Jawabu ni kuwa bawasiri zipo za aina mbili.
1>> Aina inayotembea (Yaani ikitoka ndani na kurudi)
2>> Aina inayosimama (Yaani kinyama kinachoota kwenye dubuni).
Sasa bawasiri zote hizi tiba yake n hizi zifuatazo Inshallah!!
Kitunguu thaumu (Vijiko vitatu vya chakula)
Asali (Nusu lita)
Tangawizi (Vijiko vitatu vya chakula)
Figili (fijili) - (Vijiko vitatu vya chakula)
Matumizi: Madawa haya lazima yapimwe kwa idadi hiyo yakiwa tayari yamekuwa unga, kisha changanya pamoja, na dozi yake ni kama ifuatayo;
Kijiko kimoja cha unga wa madawa haya utakilamba asubuhi, mchana utafanya kama hivyo tena kisha jioni yaani (1 X 3) kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja (7 - 11).
Hivi karibuni kaniambia kuwa uvimbe haujaisha dawa alizomeza sizijui maana alimeza tangu mwaka jana hivi. Na kuhusu operation yawezekana kweli maana housegal wetu pia bro wake alifanyiwa operation ya huo uvimbe maana alikuwa anasumbuliwa sn na tumbo tangu mwaka jana ila hadi leo kweli hajapona.
Fijili ndo kitu gani boss, maana huu ugonjwa ulishakuwa ni sehem ya maisha yangu ni mwaka wa tatu sasa nahangaika. Perhaps hii dawa yaweza nisaidia.
sasa naamini kila bina damu ana tatizo lake ama la nduguye alilo lificha moyoni/mbiyuniiii mwake...