Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Wengine wanasema kikitolewa kinarud kuna ukweli juu hili
Usipofuata masharti utarudi,ila mimi nina mwaka wa 6 nilifanyiwa operation hakijarudi,pia kama kuna natural ways jaribu hizo kwanza kabla hujafikia kwenye operation,maana kuna usumbufu sana kabla kidonda hakijapona which takes about 2 months to be healed completely.
 
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOID) NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
KUHARISHA KWA MUDA MREFU
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
MATATIZO YA UMRI
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
UZITO KUPITA KIASI
MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa aina ya TCM CAPSULE kwani ni nzuri huwa zinatibu chanzo na kumaliza tatizo kabisa
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia yafuatayo
KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
FANYA MAZOEZI MEPESI
EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI ugonjwa wa Bawasiri usipotibiwa huleta athari zifuatazo Kwa Mgonjwa
kupata upungufu wa damu (anemia)
Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo
hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake kwasababu husababisha maumivu Kwa Mwanamke wakati wa tendo la ndoa
kuathirika kisaikolojia
kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
NOTED :NDUGU RAFIKI KAMA UNA UGONJWA HUU EPUKA KULA NYAMA NYEKUNDU NA PILIPILI PIA UNAWEZA
Asante sana kwa kunipa nini maana halisi ya ugonjwa huu na athari zake,kuna sehemu umesema kuna vidonge je hivyo vidonge vinapatina wapi ni hospitar tuu au vinauzwa hata katika maduka ya madawa muhimu yale makubwa.
 
Kiongozi FIBA nzuri ya bawasiri ni Aloe vela, chukua jani kata kata vipande then saga, usichemshe. Then kunywa juice yake nusu glass Mara mbili kutwa kwa siku tano mfululizo. Leta mrejesho.
Asante sana kwa ushauri.
 
Main Ingredient: Hydrocortisone

Anusol-HC is a topical corticosteroid given to treat the rash, itching, inflammation, and other forms of skin disorders including eczema and psoriasis. Drugs like Anusol-HC do not cure the cause of these problems but they can quickly relieve the symptoms by interfering with the production of various substances in the body that cause these skin disorders. That is why it is imperative that corticosteroids like Anusol-HC should not be used without prior consultation of your physician, as these conditions could be a symptom of a larger problem.

Anusol-HC is for external use only.


ANUSOL-HC CAUTION

Avoid using large amounts of Anusol-HC over large areas of your body as this could lead to needless side effects somewhere else in the body.

Topical corticosteroids like Anusol-HC should not be used as the exclusive treatment for serious skin diseases like herpes, fungus, or skin tuberculosis.

Do not use Anusol-HC if you ever had an allergic reaction from using it in the past.
Prolonged use of topical corticosteroids like Anusol-HC near the eyes may cause cataracts or glaucoma.

Children are more at risk of serious side effects from Anusol-HC. Anusol-HC should not be given to infants under one year of age or for children older than 1 year more than 3 weeks.


ANUSOL-HC SIDE EFFECTS

Common side effects of using Anusol-HC may include allergic reaction, rash, irritation, acne, itching, and discoloration of skin. The side effects are more likely when the treated area is covered with waterproof bandage.

Use of large quantities of topical corticosteroids like Anusol-HC over large parts of your body should be avoided as large quantities may be absorbed into the blood stream, which could lead to serious side effects.



ANUSOL-HC INTERACTIONS

Check with your physician before combining Anusol-HC with other steroids.



ANUSOL-HC AND PREGNANCY

Topical corticosteroids like Anusol-HC may cause birth defects especially when applied in large amounts. If you are or think you may be pregnant, do not use Anusol-HC without first checking with your doctor.

Nursing mothers should switch to bottle feed while using Anusol-HC.


ANUSOL-HC DOSES

Consult with you doctor or pharmacist as the doses vary with each condition.


ANUSOL-HC OVERDOSE

There are no known symptoms of Anusol-HC overdose. However, if you suspect Anusol-HC overdose, seek medical help right away.
hiyo lugha ya malkia wengine atujui hebu tafsiri hapa
 
mbona bawasiri tiba zimejaa sana..
instagram kuna mtu ana tiba mbadala yake!
mimi nilidhani genital warts hizi ndo sumbufu
 
Wengi wanaoenda hospital kutoka, hali hiyo huwa inajirudia tena, coz huwa wanakata nje na siyo ndani
Ushaur nimewapa product or kirutubisho aina ya Novel depile ambayo huondoa uvimbe huo bila upasuaji wowote,
Na ijulikane kuwa hiyo bawasili au kwa kitaalamu hemorrhoid hutokana na ukosefu wa virutubisho ambavyo Mtu anavikosa kwenye balance diet.
Kama unataka ufafanuz contact me 0656872332
 
Wadau naomba maelekezo ya namna ya kutumia hiyo dawa ya anusol!!!
 
Mke wangu ni mjamzito ametokewa na uvimbe kwenye eneo la kutolea haja kuwa (kwenye anus). Msaada wenu wa mawazo tafadhali.
 
Pole sana. Ugonjwa unaitwa Bawasiri. Ni mishipa ambayo inakuwa eneo la haja kubwa inavimba.

Kuna aina mbili za Bawasiri
1: Bawasiri ya nje
2: Bawasiri ya ndani

Sababu za Bawasiri
1. Choo kigumu
2. Kuharisha sana
3. Kutumia nguvu nyingi wakati wa kujisaidia haja kubwa.
4. Kuingiliwa kinyume na maumbile

Dalili za Bawasiri
1. Kujitokeza kinyama nje ya eneo la haja kubwa
2. Damu katika kinyesi

Tiba
1. Kula vyakula laiini ili upate choo laini
2. Kunywa maji ya kutosha na vyakula vyenye fibre (nyuzi nyuzi)
3. Chukua barafu na ujikande au uweke eneo la haja kubwa
4. Kaa kwenye maji ya mvuke

Soma zaidi:
Pata elimu kuhusu ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri (Bawasiri, Hemorrhoids)

Asanteni.
 
Back
Top Bottom