Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nilikuwa nina tatizo la kukosa choo, na kupata choo kigumu chenye maumivu.

Tatizo hili likasababisha jeraha kwenye eneo la ndani ya njia ya haja kubwa. Nikawa nikienda kujisaidi napata choo kigumu pamoja na matone ya damu.

Baada ya jitihada ya kutatua tatizo la kukosa choo pamoja na kupata choo kigumu (constipation), nikafanikiwa kutatua tatizo hili.
Hivi sasa napata choo ipasavyo, kilaini najisaidia kwa starehe na sio kwa shida.

Ila tatizo linalonikabili hadi sasa ni lile jeraha, linasababisha kumwaga matone ya damu kila nikijisaidia. Na kila muda unavyoongezeka kiasi cha damu kinaongezeka.

Nikimaliza kujisaidia nanawa kabla matone ya damu hayajakata. Na hali hii inasababisha nikienda haja kubwa wakati ujao natoa damu iliyoganda pamoja na damu mpya. Jamani nifanyaje kwa aajili ya kutatua tatizo hili?

Uliwezaje kupata suluhu ya constipation mkuu,maana limekua kongwe kwangu msaada pm mkuu
 
Wakuu shida haziishi kuna shemeji yangu wa kike tokea awe mjamzito na sasa amejifungua anasumbuliwa na kinyama kimeota kwenye sehemu ya haja kubwa kinamuuma sana nasikia kinaitwa bawasili nini suluhisho lake.
 
Wakuu shida haziishi kuna shemeji yangu wa kike tokea awe mjamzito na sasa amejifungua anasumbuliwa na kinyama kimeota kwenye sehemu ya haja kubwa kinamuuma sana nasikia kinaitwa bawasili nini suluhisho lake.
operesheni,alivokuwa anajifungua angeomba akatwe
 
Mie damu haitok wala maumivu sipati lakin haka kanyama kapo nipo kwenye tiba ya kitunguu saum na mnyonyo na maji vuguvugu naona hakitoki nje tena ila napaka mnyonyo uko uko ndani swal haitaleta madhara ayo mafuta yakiingia huko? nlienda hosp nikaambiwa dawa zipo nairob, bongo operation tu
 
Vitunguu Swaumu vinapatikana,
Vya South Africa ...
Delivery kwa wakazi wa Dar es ...
Mpigie huyu 0715484450
 
Mie damu haitok wala maumivu sipati lakin haka kanyama kapo nipo kwenye tiba ya kitunguu saum na mnyonyo na maji vuguvugu naona hakitoki nje tena ila napaka mnyonyo uko uko ndani swal haitaleta madhara ayo mafuta yakiingia huko? nlienda hosp nikaambiwa dawa zipo nairob, bongo operation tu
Mkuu wewe ni kama mimi, hebu fafanua jinsi ya kutumia hivyo viungo hapo
 
Mi nasumbuliwa na tatizo la uzazi hospitali nimeenda bila mafanikio msaada kwa anaemfahamu daktari bingwa wa tatizo hili.
 
Mkuu wewe ni kama mimi, hebu fafanua jinsi ya kutumia hivyo viungo hapo
vitunguuu swaumu vya south afrika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Habari wanajamvi! Nimepatwa na tatizo la bawasili (nimetokewa na kinyama kidogo karibu na sehemu ya haja kubwa). Tiba gani ni mwafaka kwa tatizo hili? Naomba msaada wenu.
 
Matibabu ya bawasiri yanategemea na vitu vifuatavyo
1.stage ya bawasiri yenyewe, bawasiri ziko ktk makundi makuu 2 (zile za ndan ya njia ya haja kubwa na zile za nje) na bawasiri inawezA kua ktk stage 4
2.kama ina complications zozote kama kutoka dam/ infection etc

Stage za bawasiri
1.ni bawasiri ambazo ziko ndan ya mkundu, huwez kuziona kwa macho. Hizi mara nying matibabu yake hua ni ushauri wa kula vyakula lain, kuepuka kukaa sana choon, kuepuka kusimama/kukaa muda mrefu/kuepuka kubena v2 vizito
2.ni bawasiri ambazo ziko ndan lkn hua zinatoka nje ya mkundu wakat ya kujisadia lkn zinarud zenyewe...tiba-ushaur kama kwa stage ya kwanza +/-sugery
3.n bawasiri ambazo hutoka nje wakat wa kujisadia lkn hazirud ndan mpaka uzirudishe mwenyewe..tiba-ushauri kama wa stage ya 1 na surgery
4.n bawasiri ambazo ziko nje-tiba includes ushauri kama hapo juu na surgery

Kwa maelezo ulotoa hapo juu, inabid ufanye mambo yafuatayo
1.hakikisha unakula vyakula lain il kulainisha choo coz moja ya sababu ya bawasiri n choo kigumu kwa muda mrefu/kuharisha kwa muda mrefu
2.epuka kukaa/kusimama kwa muda mrefu
3.epuka kunyenyua v2 vizito kama hua unafanya hio kaz
4.unawezA kutumia dawa ya maumivu kama ukipata maumivu
But kama uko vizur kiuchum jnaweA fanya upasuaji mdogo but ukifuata hayo mashart hia zinapungua baada ya muda
[HASHTAG]#asante[/HASHTAG]
 
Chemsha maji yachemeke kufikia 100 °C kisha weka kwenye ndoo iwe kwenye ujazo usiozidi theluthi moja ya ndoo vua nguo kisha kalia kwa muda wa dk zisizopungua kumi. Fanya zoezi hilo asubuhi na jioni kwa muda siku tano kisha leta mrejesho.
 
Back
Top Bottom