Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Aisee, I have the same problem for over a year now,inapotea na kurudi. Hakuna vinyama but maumivu makali after kwenda haja plus damu mbichi (red and fresh blood) Inafika wakati hadi ukiwa na haja unahofia kwenda msalani.

Hali inakuja na kupotea, kuja na kupotea (hence over a year period).
 
ok, tafuta mafuta ya nyonyo ktk maduka ya dawa asilia kisha chukua kidogo ktk kidole then upake kwenye uvimbe, muda mfupi vitasepa
 
Aisee, I have the same problem for over a year now,inapotea na kurudi. Hakuna vinyama but maumivu makali after kwenda haja plus damu mbichi (red and fresh blood) Inafika wakati hadi ukiwa na haja unahofia kwenda msalani.

Hali inakuja na kupotea, kuja na kupotea (hence over a year period).
Umewahi kupima vidonda vya tumbo?
 
Nendeni hospitali ila msikubali option ya upasuaji, na kama hali itaendelea niPM
 
Umewahi kupima vidonda vya tumbo?

Specifically Hapana mkuu, nimekua nikifuatilia kwa ukaribu suala la 'bawasiri' katika mitandao na machapisho ya kitabibu, dalili zote ni kama bawasiri (na ni kweli nina mienendo hatarishi kama ku-strain, kukaa chooni muda mrefu - kuchat ama kusoma articles kwenye simu etc while easing myself; kutokunywa maji mengi, kula vyakula vigumu hali inayopolekea choo kuwa kigumu muda mwingi) ila mimi vinyama sina (ama vipo ila sijavigundua wakati wa kutawadha). Nilienda hospital fulani hapa mjini kwa mambo mengine nikamgusia daktari na hilo kama ziada ila akaniandikia sindano moja ya kuchoma mkononi, ila hali haija-improve.

Msaada zaidi wa mawazo na ushauri tafadhali...!
 
Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujulikana kama haemorrhiids au piles.

Bawasiri inawaza kupeleka upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upaduaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

Bawasiri husababishwa na nini

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na ugonjwa huu:

1. Kufungua choo au kupata choo kiguma kwa muda mrefu

2. Ujauzito: wakati wa ujauzito watu wengi wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa

3. Kushiriki mapenzi kunyume na maumbile\

4. Uzee: kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu

5. Sababu za kurithi: baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.

6. Kuharisha sana kwa muda mrefu

7. Kutumia vyoo wa kukaa

8. Kunyanyua vyuma vizito

9. Uzito na unene kupita kiasi n.k.

Dalili za bawasiri

1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia

3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa

5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

Matibabu ya bawasiri:

Kitegemea na umri wako namna ugonjwa ulivyojijenga na kudumu, unaweza kuhitaji dawa moja au mbili au hata tatu kwa pamoja kati ya hizi zifuatazo. Kumbuka kumshirikisha daktari wako kabla ya kuamua kuzitumia hizi dawa.

1. Habbat-Sawdaa

Chukua kijiko kikubwa kimoja cha unga wa Habbat-Sawadaa ukoroge ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote. Fanya hivi kutwa mara mbili kwa wiki mbili mpaka tatu hivi.

2. Habbat-Sawdaa na asali

Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakuila kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida.

3. Aloe Vera Fresh

Chukua kipande cha jani la mmea wa Aloe vera fresh(msubiri) na kikate ukimenye kidogo ukitumia kidole kupata kama utomvu hivi au maji maji yake na upake sehemu ya utupu wako wa nyuma baada ya kuoga kutwa mara tatu. Jipake nyingi tu na uiache hivyo ,asaa kadhaa au mpaka utakapoenda kuoga tena.

Tengeneza pia juisi freshi ya mmea huu na uchanganye nusu glasi dawa hii na nusu glasi nyingine ya juisi yoyote ya maunda uliyotengeneza nyumbani ili kupata glasi moja iliyojaa na unywe glasi 1 kutwa mara mbili kwa wiki 3 hadi 4. Juisi freshi ya aloe vera ni nzuri kwa kuongeza kinga ya mwili na kutoa taka zote za ndani ya mwili.

4. Juisi ya limau

Chukua juisi ya limau na upake sehemu iliyoathirika. Juisi ya limau sifa yake kuu hapa ni kuondoa sumu na kuongeza kinga ya mwili kwa kuwa ina vitamin C kwa wingi. Pia unywe glasi moja ya juisi hii kutwa mara kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja.

Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau na asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi:

Chukua asali nusu lita

Chukua limau kubwa 12, zikate katikati kila moja. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji lita 3, chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua utowe zile nyama za ndani za limau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na chuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.

Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu lita na hiyo juisi ya limau lita 2 na nusu, ongeza maji safi ya kawaida lita 2 ili kupata lemonade ya ujazo wa lita 5. Ihifadhi katika friji au kama huna friji andaa kiasi kidogo kidogo cha kutumia siku 3 kisha unaandaa nyingine.

Kunywa robo lita kutwa mara 2 kwa siku 10 hadi 11 hivi.

Unaweza kuongeza vijiko vikubwa vitatu vya mdalasini ya unga ndani ya hii juisi ya lemonade.

5. Siki ya tufaa

Chukua kipande cha pamba na ukichovyo ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na ujipake kidogo kidogo eneo lenye uvimbe taratibu. Unaweza kusikia mauvimu zaidi lakini jipe moyo taratibu yatapotea. Hakikisha unapata siki ya tufaa ile ya asili kabisa siyo ile iliyopita viwandani.

Pia kama una bawasiri ya ndani yaani ile isiyotokeza nje na ukaiona kwa macho moja kwa moja unashauriwa kuchaganya kijiko kidogo kimoja cha siki ya tufaa ndani ya glasi ya maji na unywe yote kutwa mara. Hii husaidia pia kupunguza maumivu.

6. Mafuta ya nyonyo

Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya utupu wako wa nyuma kwa wiki tatu hadi nne hivi.

Mambo muhimu ya kuzingatia:

1. Kula vyakula vingi vyenye faida

2. Kunywa maji mengi kila siku ili kusafisha mwili na kuepuka kufunga choo

3. Kula sana mboga majani na matunda

4. Tumia mafuta ya mzeituni (olive oil) kwa wingi kwenye vyakula vyako

5. Epuka mapenzi kinyume na maumbile
 
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote anayevijua aniambia chanzo na matibabu yake. asanteni

========= Majibu========
unatatizo la bawasiri wasiliana nasi hakuna dawa hospital.tuchek 0712770729
 
po
Dear, JF Doctor+ wadau.
Tafadhali ninaomba ushauri wenu (samahani kama lugha itakuwa kali kidogo). Nina kinyama kidogo kimeota sehemu ya matakoni pembeni mwa njia ya haja kubwa kuanzia nikiwa form three. Nilijaribu kuuliza siku za nyuma nikaambiwa inasababishwa na choo kuwa kikavu (kutokunywa maji) hivyo nikaanza kunywa maji kwa wingi.

Sasa naomba kujua kama kuna namna yeyote au dawa ya kukiondoa maana kinanikosesha raha sana.
Asanteni.
pole sana ndugu dawa zipo bila shaka wasiliana nasi 0712770729
 
Ndugu member ili tatizo nasumbuliwa zaidi ya miaka 5 mi nimejalibu kwenda hospitali wamenifanyia examination inaonesha ndani hakuna tatizo lolote, kwahiyo liko nje tu! Kiuvimbe kiko nje na kinanisumbua sana maumivu, Wamenishauri niendelee tumia dawa na nisifanye kaz ngumu, wala mazoezi. sasa kama kunashuhuda ambae alifanyiwa surgical labda miaka miwili iliyopita na kuendelea naomba atusaidie ushuhuda kama kweli tatizo linajiludia au halijiludii maana mi nataka niombe kufanyiwa surgical ili nipumzike hii taabu.
 
Nina maswali kadhaa kuhusu ugonjwa huu kama ifuatavyo:-

  1. Unasababishwa na nini?
  2. Tiba yake ni nini?
  3. Ukubwa wa ugonjwa huu ukoje?
  4. Madhara yake ni nini?
 
Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujulikana kama haemorrhiids au piles.

Bawasiri inawaza kupeleka upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upaduaji ama kwa matumizi ya dawa mbadala kwa kipindi kirefu wiki hata 6 au hata zaidi kutegemea ilikuwa imejijenga kiasi gani.

Bawasiri husababishwa na nini

Hakuna sababu ya moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha bawasiri, bali mambo yafuatayo yanaweza kupelekea wewe kupatwa na ugonjwa huu:

1. Kufungua choo au kupata choo kiguma kwa muda mrefu

2. Ujauzito: wakati wa ujauzito watu wengi wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa

3. Kushiriki mapenzi kunyume na maumbile\

4. Uzee: kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu

5. Sababu za kurithi: baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.

6. Kuharisha sana kwa muda mrefu

7. Kutumia vyoo wa kukaa

8. Kunyanyua vyuma vizito

9. Uzito na unene kupita kiasi n.k.

Dalili za bawasiri

1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

2. Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia

3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa

4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa

5. Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote

Matibabu ya bawasiri:

Kitegemea na umri wako namna ugonjwa ulivyojijenga na kudumu, unaweza kuhitaji dawa moja au mbili au hata tatu kwa pamoja kati ya hizi zifuatazo. Kumbuka kumshirikisha daktari wako kabla ya kuamua kuzitumia hizi dawa.

1. Habbat-Sawdaa

Chukua kijiko kikubwa kimoja cha unga wa Habbat-Sawadaa ukoroge ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote. Fanya hivi kutwa mara mbili kwa wiki mbili mpaka tatu hivi.

2. Habbat-Sawdaa na asali

Changanya gm 500 za unga wa Habbat-Sawdaa na nusu lita ya asali. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakuila kila baada ya masaa manne. Ukimaliza kulamba kunywa glasi moja ya maji ya kunywa ya joto la kawaida.

3. Aloe Vera Fresh

Chukua kipande cha jani la mmea wa Aloe vera fresh(msubiri) na kikate ukimenye kidogo ukitumia kidole kupata kama utomvu hivi au maji maji yake na upake sehemu ya utupu wako wa nyuma baada ya kuoga kutwa mara tatu. Jipake nyingi tu na uiache hivyo ,asaa kadhaa au mpaka utakapoenda kuoga tena.

Tengeneza pia juisi freshi ya mmea huu na uchanganye nusu glasi dawa hii na nusu glasi nyingine ya juisi yoyote ya maunda uliyotengeneza nyumbani ili kupata glasi moja iliyojaa na unywe glasi 1 kutwa mara mbili kwa wiki 3 hadi 4. Juisi freshi ya aloe vera ni nzuri kwa kuongeza kinga ya mwili na kutoa taka zote za ndani ya mwili.

4. Juisi ya limau

Chukua juisi ya limau na upake sehemu iliyoathirika. Juisi ya limau sifa yake kuu hapa ni kuondoa sumu na kuongeza kinga ya mwili kwa kuwa ina vitamin C kwa wingi. Pia unywe glasi moja ya juisi hii kutwa mara kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja.

Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau na asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi:

Chukua asali nusu lita

Chukua limau kubwa 12, zikate katikati kila moja. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji lita 3, chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua utowe zile nyama za ndani za limau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na chuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.

Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu lita na hiyo juisi ya limau lita 2 na nusu, ongeza maji safi ya kawaida lita 2 ili kupata lemonade ya ujazo wa lita 5. Ihifadhi katika friji au kama huna friji andaa kiasi kidogo kidogo cha kutumia siku 3 kisha unaandaa nyingine.

Kunywa robo lita kutwa mara 2 kwa siku 10 hadi 11 hivi.

Unaweza kuongeza vijiko vikubwa vitatu vya mdalasini ya unga ndani ya hii juisi ya lemonade.

5. Siki ya tufaa

Chukua kipande cha pamba na ukichovyo ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na ujipake kidogo kidogo eneo lenye uvimbe taratibu. Unaweza kusikia mauvimu zaidi lakini jipe moyo taratibu yatapotea. Hakikisha unapata siki ya tufaa ile ya asili kabisa siyo ile iliyopita viwandani.

Pia kama una bawasiri ya ndani yaani ile isiyotokeza nje na ukaiona kwa macho moja kwa moja unashauriwa kuchaganya kijiko kidogo kimoja cha siki ya tufaa ndani ya glasi ya maji na unywe yote kutwa mara. Hii husaidia pia kupunguza maumivu.

6. Mafuta ya nyonyo

Pakaa mafuta ya nyonyo mara mbili mpaka tatu kwa siku sehemu ya utupu wako wa nyuma kwa wiki tatu hadi nne hivi.

Mambo muhimu ya kuzingatia:

1. Kula vyakula vingi vyenye faida

2. Kunywa maji mengi kila siku ili kusafisha mwili na kuepuka kufunga choo

3. Kula sana mboga majani na matunda

4. Tumia mafuta ya mzeituni (olive oil) kwa wingi kwenye vyakula vyako

5. Epuka mapenzi kinyume na maumbile
asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom