Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

tena kwa wanawake wajawazito ni mara nyingi upata tatizo ili sababu ya njoo kigumu ivyo fanya ayo niliyo kwambia kwa muda wa wiki mbili
 
Mkimbize hospitals haraka sana hiyo ni HEMORROIDS ni ugonjwa hatari maana ikianza ku bleed ni kazi sana kuisimamisha hiyo damu na mtu mwenyewe ni mjamzito. .Mwenye Enzi Mungu akutangulie. ..kimbilia hospital haraka sana ndugu!
 
kila ugonjwa ni hatari bawasiri kwa mama wajawazito utokea sana kisa njoo kigumu hospital ataambiwa awe na choo laini pia anaweza kupewa dawa ya kulainisha njoo ila dawa ya bawasiri ni kulainisha choo
 
Huo uvimbe mara nyingine unapasuka ambao ni hatari. ..aende akutane na wataalamu wa hayo mambo jamani. ..maana kipindi hiki watu hawana pesa. .asije kuamua kununua dawa ya kulainisha alafu asiende hospital. ...tumpe ushauri wa kuonana na wataalamu hospital. ..asante sana
 
Mke wangu ni mjamzito ametokewa na uvimbe kwenye eneo la kutolea haja kuwa. Kwenye anus,
Msaada wenu wa mawazo tafadhali
Pole sana, ugonjwa kama huo umemtesa sana rafiki yangu mmoja. Amefanyiwa operation mara mbili lakini baada ya muda ulikuwa unamrudia tena,

Muda huu hapatikani lakini mpaka ninavyoandika hii comment yeye kashapona kabisa,

Alienda hospital nyingine tofauti na ile ya rufaa alikofanyiwa operation mara mbili wakamwambia hamna sababu ya operation

Kwenye hiyo hospitals ndogo ya wilaya

aliambiwa dawa ni chumvi na kweli imemsaidia amepona kabisa, atakapokuwa hewani nitamuulize matumizi yake nitoe taarifa sahihi..
UPDATES:

Nilitumia vidonge +maji ya uvuguvugu ya chumvi hata ivo niliwasiliana nae dactari akaniambia madactar bigwa watakua mwez wa nne mwanzon ivo bitaenda kufanyiwa operation kubwa. Vidonge vinaitwa tabs Anusol suppositories na ninaendelea vzr ila niliambiwa kuwa ratizo lipo kwa ndani ugonjwa unaitwa Homoraids.
 
Mke wangu ni mjamzito ametokewa na uvimbe kwenye eneo la kutolea haja kuwa. Kwenye anus,
Msaada wenu wa mawazo tafadhali
Itakuwa Hermorroids, Ni Matatizo Ya Kawaida, Yanatibika Locally Na Hospitali, Mtafutie Daktari Mwaminifu Au Mpeleke Hospitali
 
Mi ndo maana naipenda jf maana hakuna kinachoshindikana[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Bado vijatoka na vina muda gani usikimbilie operations
 
Wataalamu wa afya nini chanzo Na tiba ya hemorrhoids? Sijajua Kiswahili chake pia.
 
Nenda Jf Doctor Hili Tatizo Lako Limejadiriwa Sana Na Ufumbuzi Wake Tiba
 
Bawasiri ndio kiswahili chake. Inatokana na kukosekana majimaji ya kutosha kumeng'enya chakula. Kula mbogamboga kwa wingi na kunywa maji walau lita 2 kwa siku. Kula vyakula vyenye 'roughage' kwa wingi. Punguza vyakula vya wanga (starch). Pole sana. Kwa ushauri zaidi njoo PM
 
hahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…