Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
tena kwa wanawake wajawazito ni mara nyingi upata tatizo ili sababu ya njoo kigumu ivyo fanya ayo niliyo kwambia kwa muda wa wiki mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila ugonjwa ni hatari bawasiri kwa mama wajawazito utokea sana kisa njoo kigumu hospital ataambiwa awe na choo laini pia anaweza kupewa dawa ya kulainisha njoo ila dawa ya bawasiri ni kulainisha chooMkimbize hospitals haraka sana hiyo ni HEMORROIDS ni ugonjwa hatari maana ikianza ku bleed ni kazi sana kuisimamisha hiyo damu na mtu mwenyewe ni mjamzito. .Mwenye Enzi Mungu akutangulie. ..kimbilia hospital haraka sana ndugu!
bawasiri ina hatua nyingi operations ni tiba ya mwisho kile kinyama uwaga kinapotea kabisa hakifanya ayo niliyo mwambia after two week kinapoteaMkumbushe na kufanyiwa operation cdhan kama uvimbe hua unapotea ulee
Huo uvimbe mara nyingine unapasuka ambao ni hatari. ..aende akutane na wataalamu wa hayo mambo jamani. ..maana kipindi hiki watu hawana pesa. .asije kuamua kununua dawa ya kulainisha alafu asiende hospital. ...tumpe ushauri wa kuonana na wataalamu hospital. ..asante sanakila ugonjwa ni hatari bawasiri kwa mama wajawazito utokea sana kisa njoo kigumu hospital ataambiwa awe na choo laini pia anaweza kupewa dawa ya kulainisha njoo ila dawa ya bawasiri ni kulainisha choo
Pole sana, ugonjwa kama huo umemtesa sana rafiki yangu mmoja. Amefanyiwa operation mara mbili lakini baada ya muda ulikuwa unamrudia tena,Mke wangu ni mjamzito ametokewa na uvimbe kwenye eneo la kutolea haja kuwa. Kwenye anus,
Msaada wenu wa mawazo tafadhali
Itakuwa Hermorroids, Ni Matatizo Ya Kawaida, Yanatibika Locally Na Hospitali, Mtafutie Daktari Mwaminifu Au Mpeleke HospitaliMke wangu ni mjamzito ametokewa na uvimbe kwenye eneo la kutolea haja kuwa. Kwenye anus,
Msaada wenu wa mawazo tafadhali
Mi ndo maana naipenda jf maana hakuna kinachoshindikana[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pole sana, ugonjwa kama huo umemtesa sana rafiki yangu mmoja. Amefanyiwa operation mara mbili lakini baada ya muda ulikuwa unamrudia tena,
Muda huu hapatikani lakini mpaka ninavyoandika hii comment yeye kashapona kabisa,
Alienda hospital nyingine tofauti na ile ya rufaa alikofanyiwa operation mara mbili wakamwambia hamna sababu ya operation
Kwenye hiyo hospitals ndogo ya wilaya
aliambiwa dawa ni chumvi na kweli imemsaidia amepona kabisa, atakapokuwa hewani nitamuulize matumizi yake nitoe taarifa sahihi..
Bado vijatoka na vina muda gani usikimbilie operationsPole sana, ugonjwa kama huo umemtesa sana rafiki yangu mmoja. Amefanyiwa operation mara mbili lakini baada ya muda ulikuwa unamrudia tena,
Muda huu hapatikani lakini mpaka ninavyoandika hii comment yeye kashapona kabisa,
Alienda hospital nyingine tofauti na ile ya rufaa alikofanyiwa operation mara mbili wakamwambia hamna sababu ya operation
Kwenye hiyo hospitals ndogo ya wilaya
aliambiwa dawa ni chumvi na kweli imemsaidia amepona kabisa, atakapokuwa hewani nitamuulize matumizi yake nitoe taarifa sahihi..
UPDATES:
Nilitumia vidonge +maji ya uvuguvugu ya chumvi hata ivo niliwasiliana nae dactari akaniambia madactar bigwa watakua mwez wa nne mwanzon ivo bitaenda kufanyiwa operation kubwa. Vidonge vinaitwa tabs Anusol suppositories na ninaendelea vzr ila niliambiwa kuwa ratizo lipo kwa ndani ugonjwa unaitwa Homoraids.
hahahahahahahaaaaaaaaaaNimewahi kupatwa na tatizo hili. Nakiri kwamba ni kweli tatizo hili kwangu mm lilitokea kwa sbb nilikuwa napata choo kigumu sana sana pale unapojaribu kukikata utoe kwa mafungu mafungu anus inauma balaa,siku ya pili yake niligundua tayari nina kidonda na kuna kinyama kimetokeza kwa nje halafu kinauma sana!!! Lakn nilitumia vidonge viwili tu vya anusol nikapona. Kile kidonge ni kizur sana unapokiingiza kinaleta msisimko kweli!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanahitaji ushahidiii kamiliPole na hongera kwa kupona
Watu wataomba picha uwe mvumilivu.