Na zinaweza kuwa dalili za colorectal cancer sitaki kukutisha. Jaribu kula vyakula vyenye fibre kama maharage, makande, ugali wa dona, brown bread, mananasi, machungwa, nkHaemorrhoids (Piles) ndio tatizo ila uwende hospitali kwa vipimo isije cancer ya utumbo mkubwa.
Hi sweetheart...Hello honey
Mungu anakuona [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Pole sana usirudie kula ugari wa mtama
pilesAu ni kinyama cha njia ya haja kubwa??? Sjui utaalam unakiitaje but itakua hyo. Na je...haupat vimaumiv kdogo?
wacha huo mchezo unaofanyaWatalaam naomba mnisaidie nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidi, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza tokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichinifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lkn nyingi sana mpaka nimegopa..naomba ushauri, huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lkn nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
Nenda hospitaliWatalaam naomba mnisaidie nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidi, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.
Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza tokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..
Kilichinifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lkn nyingi sana mpaka nimegopa..naomba ushauri, huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.
Nimeficha sana lkn nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
Eeh hiyohyi pia hua inaeza pelekea matatzo ya kutokwa na dampiles
Unaitwa bawasiri huo ugonjwa. Unatibika hospitalKaka nenda hospital au hebu google hizi dalili unaweza ukapata some information
inaonekana huyu dada ni kinara wa kula chips!!....Anafikiri chips ni chakula!!constipation
zingatia maji
kula matunda kwa wingi hasa yenye nyuz kama maembe hata mapapai
kula mboga mboga mkuu
hali ikizidi nenda kamuone dokta kwa msaada zaidi