Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Au ni kinyama cha njia ya haja kubwa??? Sjui utaalam unakiitaje but itakua hyo. Na je...haupat vimaumiv kdogo?
 
Majibu uliyopewa ni mengi na huenda ndo sahihi
Lakin kitaalam kuna sababu nyingi zinazosababisha hayo.
Ushaur wangu ni mmoja tu nenda hospital kesho mama
Jibu sahihi litapatikana utakapopimwa maabara
NAKUOMBA NENDA HOSPITAL najua nini ninachokuambia
 
Hizo ni dalili za bawasiri au kwa lugha nyingine mgolo au kikundu kuna bawasiri ya ndani na nje hiyo yako nahisi ni ya ndani ya nje ni ile ukienda kunya mkundu unafutuka
 
Watalaam naomba mnisaidie nina tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa. Damu huanza kutoka sekunde chache baada ya kuanza kujisaidi, huendelea hata nikimaliza kujisaidia ...huchukua dakika chache ndipo hukata.

Hii hutokea baada ya kipindi fulani, inaweza tokea Leo ikajirudia tena baada ya miezi miwili au mitatu..

Kilichinifanya niombe ushauri kwenu ni leo imetoka lkn nyingi sana mpaka nimegopa..naomba ushauri, huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake.

Nimeficha sana lkn nimeona niseme ili nisaidiwe...
Naomba wataalum mnisaidie tafadhali.
wacha huo mchezo unaofanya
 
Nenda hospitali
Wahi sana
Mambo hayo sio ya kuficha
Mbwa wangu ilianza kimzaamzaa hvyo adi akafa
 
cha kwanza kufikiria ni kansa kwenye utumbo mkubwa ( locorectal carcinoma ), cha pili hemorrhoids, .... japo bado kuna vitu vingi vinaweza kusababisha such kind of GI bleeding...
na kama uliishawahi kufanyiwa operation iliyohusisha tumbo huenda hiyo ni complication...
Cha kwanza kuhofia sio hiyo damu inayotoka ila ni wewe kupata upungufu wa damu, na ikiwa sababu ni kansa.

Hakuna haja ya kuendelea kupoteza muda, ni kuwahi hospitali ujieleze vizuri, toa ushirikiano kwa daktari na ufanyiwe vipimo.

Pole
 
Inasikia maumivu au kuwashwa eneo husika wakati wa kujisaidia?

Kama ndiyo basi hiyo ni constipation inayopelekea internal hemorrhoids.

Tiba yake ni kuongeza vyakula vya nyuzi nyuzi kama papai na tikiki pamoja na mboga za majani kwa wingi. Kunywa maji ya kutosha na kama unapenda ubwabwa basi uwe unatumia brown rice.

Pia waweza kutumia suppositories kama anusol na preparation H.

Kwa usalama zaidi kamcheki daktari
 
Back
Top Bottom