Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Naomba namba ya simu nina ndugu anasumbuliwa na hilo tatizo amehangaika kwa miaka mitatu sasa
 
Bawasiri ni moja ya matatizo ambayo wengi wakipata huwa so wepesi kusema na hivyo kuleta matokeo mabaya zaidi hii nikwa sababu tuu ya sehemu nyeti Tatizo lilipo tokea, lakini hill ni tatizo la kawaida kabisa!!!!

Mara nyingi Tatizo hili linapokuwa tayari sugu yaani tayari nyama zimekuwa kubwa sehemu ya haja kubwa... Tiba pekee huwa ni kufanyiwa upasuaji(Surgery)kwa kukatwa ile nyama!!!
Unaweza Tembelea hapa kufahamu zaidi!!

 
Labda ni ya kienyeji na hutolewa kienyejienyeji.
 
Msaada tafadhari ivi ugonjwa wa bawasili una dawa za kumeza na zinaitwaje na pia kama hamna nn tiba Yake.
 
Niliwahi kuupata huu lakini nilielekezwa njia ya kurudisha sawa na ikafanya kazi, ilikuwa najisafisha na maji ya uvuguvugu, kisha napaka mafuta ya mgando kwa pembeni na katikati kisha unafanya kurudisha taratibu na kwa tahadhari Sana kisha unapaacha kwa siku mara tatu iITAPENDEZA ZAIDI!! Ila zingatia mikono yako iwe misafi
 
 
Yeyote ajua ALO SCANA inapatikana wapi aniambie sasa hivi!! Hakuna mambo ya siri ya pm! nielekeze tafadhari!
Hao wanafanya biashara ndo maana wanaweka mambo sirini. Nenda kanunue "Black Seed Oil", kunywa kijiko cha chai moara moja kwa siku na pakaa sehemu iliyoathirika mara mbili kwa siku na kila unapotoka kuoga au unapotoka haja kubwa. Black seed Oil inapatikana katika maduka ya vyakula au viungo vya chakula vya wahindi. inauzwa bei rahisi sana, chupa cha ujazo wa mls 60 inauzwa 4500/= na cha mls 120 inauzwa 6000/=. siku tatu tu inatosha kuona matokeo, na utatakiwa kutumia kwa muda wa mwezi mmoja hadi miwili. Chupa nne tu zinatosha kwa mwezi mzima.Ukishindwa kupata tuwasiliane inbox ninaweza kukuleteakama upo Dar au Tanga.
 
Aksante sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…