Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Aksante sana!!!!
Asante na wewe. ukiona unakwama kuipata tuwasiliane kwa 0787371186. Wikiendi iliyopita tu kuna jamaa zangu nimewaletea Dar. mimi sifanyi biashara, kwangu ni Tanga, nafanya kazi hapa Dar, hivyo nakuchukulia kwa bei hiyo hiyo ya Dukani. Mimi niliwahi kupata tatizo hilo, nillipona ndani ya wiki, nikaendelea tu kuitumia kwa ajili ya kukamilisha ratiba.
 
Mkuu we kweli unasaidia watu iyo black seed oil so ndo mafuta ya mzaituni kwa kibongo au sio ?
 
hapana. siyo mafuta ya mzeituni. Ni mafuta ya mmmea mmoja una Sativa Nigella kwa jina la kisayansi kama sijaikosea namna ya kuiandika. Mbegu zake zinapatika Tanga katika maduka ya Wahindi. Ni mbegu ndogo ndogo na nyeusi kweli kweli. Zao hili linapatika Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya kati na katika nchi za Spain na Pakistan. Waaarabu wanapenda kuliita "Habbat Soda Oil". Kwa kiingereza ndo hiyo Black Seed Oil.
 
Okay mkuu bac nitakucheki nijue napataje hayo mafuta mkuu
 
Asante na wewe. ukiona unakwama kuipata tuwasiliane kwa 0787371186. Wikiendi iliyopita tu kuna jamaa zangu nimewaletea Dar. mimi sifanyi biashara, kwangu ni Tanga, nafanya kazi hapa Dar, hivyo nakuchukulia kwa bei hiyo hiyo ya Dukani. Mimi niliwahi kupata tatizo hilo, nillipona ndani ya wiki, nikaendelea tu kuitumia kwa ajili ya kukamilisha ratiba.
Vip mkuu inaweza kutumika kama kinga pia ?
 
Hahahaa, mkuu kweli hii ni biashara half-mubashara. Ndo maana hataki kuelezea maandalizi/formula ya hiyo dawa, analenga watu wamfuate pm.

Eti aliletewa dawa iliyo kwenye kichupa kidogo. Lol. Mitapeli kama hii ni ya kuchapa makofi.

Maboya watapigwa tu hapa.

-Kaveli-
Hata yeye hajui inatengenezwaje. Cha zaidi aende kwa Shangaz yake akajifunze....then aje apige noti
 
a6db04a5ae9aef0630d48da64385714e.jpg

Tafuta hii dawa ni kiboko inaiuzwa bei ya 3500/=(elfu tatu mia tano tu)
Inapatikana karikoo kwenye maduka ya dawa za kiarabu yaliyopo karikoo kwenye stand ya mabus ya kwenda tegeta nyuki.

Jitahidi uipate ukitumia baada ya week tu utaona mabadiliko chanya tena makubwa sana.

Biidhni llah
 
matumizi yake yanakuaje mkuu
 
matumizi yake yanakuaje mkuu
Matumizi
Hiyo dawa ipo kama unga wenye chenga chenga flani hivi so unachanganya na maji kwenye kikombe.
Dawa unaweka kijiko kimoja cha chakula kwenye maji ya kunywa kutwa mara tatu
Asubuhi mchana jion.

Sio chungu wala sio tamu ni nzuri tu
Ebu ijaribu
Kwa maelezo zaidi waone wauzaji wenyewe pale karikoo na pia unaweza kugoggle hiyo dawa utaiona inatibu magonjwa gani.
 
Shukrani ngoja niitafute
 
Mtu mwenye taaluma ya udaktari wa binadam please naomba tuwasiliane
 
Back
Top Bottom