senkondo mfanga
New Member
- Jan 31, 2018
- 2
- 2
Duuh.. pole sana mkuu, wahi hospital ukatibiwe kabla hakijakomaa. Itakuwa bawasili hiyo.
Hiyo ni bawasil tengeneza juIce ya vitunguu maji kwasiku kunywa glass 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh.. pole sana mkuu, wahi hospital ukatibiwe kabla hakijakomaa. Itakuwa bawasili hiyo.
Hiyo tiba yote atapona ndani ya muda gani?Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi
Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF
Kwa hiyo pesa si aende hospitali? Kwani utabibu unatokana na nani? Kama knowledge ya utabibu imetoka kwa Mungu, TB naye unadai ni mtumishi wa Mungu, Kwa nini unamshauri kwenda kwa mtumishi wa Mungu aliyeko Nigeria, na awaache watumishi wa Mungu (madaktari) waliopo Tanzania?.MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Jambo jema kumtumainia Mungu lakini hiyo pesa nusu yake au pungufu anaweza pata tiba ya hospital hapa nyumbani akaokoa muda na pesa huku akiendelea kumwomba Mungu mwenyewe au kwa wachungaji wa jirani na kwake.MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Dah ahsante mkuu, yaani amani imetoweka, ilikuwa wiki iliyopita nilipata maumivu sana nikaamua kupotezea, sasa leo nikaona wacha nijicheki ndo nakuta hali hiyo....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi
Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF
naomba jina kamili la hayo mafuta mkuu!Nunua mafuta ya nyonyo pharmacy-castro oil paka hizo vimbe kila unapotoka ku-poo na kila unapoamka asubuhi baada ya kuoga,baada ya,wiki vinapotea
naiomba hiyo namba mkuu, waweza nitumia PMNi ugonjwa uliompata mdogo wangu...alipata sana shida wakati wake haja....dawa yake ni opereshen tu na alifanyiwa na doctor fulani hapa dar....kama upo Tayali nikutumie no zake mpange...
Kama kweli anaweza kumtibu hebu mlipie wewe kila kitu aende akipona ndio alipe gharamaMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Castor oil mkuunaomba jina kamili la hayo mafuta mkuu!
khaa[emoji15]MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Inaonesha hata akiumwa Malaria anaweza kumfata Prophet amuombee duh kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifaEbu acha ujanja ujanja.hadi huo ugonjwa mnataka kufanyiana maombi.?
msameheni tu jamaniInaonesha hata akiumwa Malaria anaweza kumfata Prophet amuombee duh kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifa
Ok....Tena alifanyiwa jpm hospital magomeni tulilipa Kama laki 5 kila kitu...naiomba hiyo namba mkuu, waweza nitumia PM
Kubeba vitu vizito?Ufafanuzi Tafadhali!Hiyo inaitwa haemorrhoid
Huwa inasababishwa na kubeba vitu vizito au kupata choo ngumu
Tiba yake ni kuiondoa kwa operation au haemorrhoidectomy
nimejipiga mwenyewe mkuuSamahani...picha alikupiga nani
????
Poleee
uwiii naitoa wapi hiyo laki tano mimi!Ok....Tena alifanyiwa jpm hospital magomeni tulilipa Kama laki 5 kila kitu...