Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

si mpenzi wa ugali, napendelea sana kula wali, kidogo na chipsi, viazi na maghimbi.

kwa mara ya mwisho kula ugali ni mwezi wa kwanza!
Kuna mtu alisema kama unakula vyakula vya nafaka iliyokobolewa kuanzia ugali, wali, ngano ndio vinaleta hiyo shida!!

Ila ushajua tatizo ni nin nenda hospital...

NB: kama una bima itakusaidia sana kupunguza gharama za matibabu!! Kama huna omba ya mtu au kata ndio uende kwenye hospital wanayotumia bima.... Pole sana na kila la heri!!
 
Duuuh pole Sana mkuu


Kuna watu wanazo ndefu kama mkia,wanaita makila,kinaweza kukaa hata miaka ishirini,

Mungu atuepushe na haya masaibu,kuna watu wanateseka Sana, unakuta ni mrembo Kabisa,aibu yote anaweka pembeni,

Pole sana mkuu,tafuta anusol ya kusweka au gel ya kupaka,pia meza strong antibiotics kama amoxclav,claranta.
 
Kuna mtu alisema kama unakula vyakula vya nafaka iliyokobolewa kuanzia ugali, wali, ngano ndio vinaleta hiyo shida!!

Ila ushajua tatizo ni nin nenda hospital...

NB: kama una bima itakusaidia sana kupunguza gharama za matibabu!! Kama huna omba ya mtu au kata ndio uende kwenye hospital wanayotumia bima.... Pole sana na kila la heri!!
ahsante sana kwa ushauri kiongozi Mungu akubariki sana
 
Pole sana mkuu

Bila shaka hiyo ni Hemmorhoids au bawasili kwa kiswahili ni ugonjwa unaotokea sehemu ya haja kubwa katika nyama za misuli ya haja kubwa huwa inavimba

Kwa kuangalia hiyo pic yako inaonyesha upande wote wa hiyo misuli ya anus imevimba ina maana hapo hemorhoids yako ipo katika stage ya tatu huwa wanaiita thembosd hemmorhoids yaani vimbe zipo zaidi ya moja

Na kawaida huwa hawafanyi upasuaji kwa vimbe zaidi ya mbili kwa wakati mmoja na ww hapo picha inaonyesha una vimbe zaidi ya moja mean anus area yote imevimba

Kikubwa nenda hospitali doctor atakufanyia uchunguzi then atajua kama ufanyiwe surgey au akupe dawa za kupakaa na vidonge na ushauri wa lishe bora

Kikubwa watu wengi wasichokijua ni huu ugonjwa huwa unaweza kuisha au kupona wenyewe kwa kuzingatia lishe kama mboga mboga kwa wingi matunda kama papai,parachichi,maembe

Unapokuwa na huu ugonjwa usitumie
*chumvi nyingi
*kahawa
*chai
*vyakula vya ngano
*soda/pombe
*nyama nyekundu,pilipili

*maziwa
-maziwa huwa baada ya kuyanywa yakishafika tumboni baada ya masaa hubadilika na kuchacha na kutengeneza acid ambayo huenda kuamsha vimbe au kuleta maumivu makali kwenye hizo vimbe

Kamwone dk kwanza ila kwa hali yako sidhani kama utashauriwa kufanya surgey hapo utapewa dawa za kupakaa kwanza na ushauri wa vyakula bora

Kumbuka*

Usitumie dawa ya anusol zaidi ya siku 7, ukitumia zaidi ya hapo itakuletea madhara makubwa ambayo yatapelekea upate maumivu na vimbe zaidi katika sehem ya anus area
I love JF. The home of great thinkers. metusaidia wengi. Dr. MUNGU akupe umri uendelee kutulisha utaalam.
 
Aisee pole sana ilinitokea hata mimi hii imekauka ila kinyama kipo yani naishi kwa tahadhari sana nayajua maumivu yake hata kukaa mziki
 
Dah ahsante mkuu, yaani amani imetoweka, ilikuwa wiki iliyopita nilipata maumivu sana nikaamua kupotezea, sasa leo nikaona wacha nijicheki ndo nakuta hali hiyo....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Usijali poleee sana mkuu fanyia kazi hayo hautaona maumivu na huo uvimbe utaondoka kabisa nakuahidi hilo ndugu.
 
Huo ugonjwa una sababishwa na ulaji wa pilipili, wengi wao wanaogua ni Wahindi. Dawa yake ni tube kama super glue ila ina matundu mengi mbele. Unaingiza una minya asubuh na jioni saa ya kulala, mwisho litapasuka na kutoa damu muda wa siku tano mpaka week unapona. Kama upo Dar nenda maduka makubwa kama Jd phamacy au Hospital za Wahindi

Nimeshawah kuugua ndio maana nakuambia sio bawasiri, bawasiri ni nyama kutoka wakati unapush ili utoe nyaa na ukimaliza uchukua muda ile nyama kurudi ndani.

Kupona kwake ni kupasuka na damu kutoka, ukuwa kama una bleed, nilitembea na boxer kila likipumua linatoa damu hivyo nabadilisha boksa.
 
3630e257e148f2fa53a24337f5f42662.jpg


Mkuu tafuta hii dawa inauzwa Tsh.3500/=(elfu tatu na mia tano tu)
Inapatikana karikoo stand ya daladala za Tegeta nyuki kwenye maduka ya dawa za kissunnah.

Itakusaidia sana na maumivu yatakwisha kabisa biidhni'Llah
 
3630e257e148f2fa53a24337f5f42662.jpg


Mkuu tafuta hii dawa inauzwa Tsh.3500/=(elfu tatu na mia tano tu)
Inapatikana karikoo stand ya daladala za Tegeta nyuki kwenye maduka ya dawa za kissunnah.

Itakusaidia sana na maumivu yatakwisha kabisa biidhni'Llah
 
Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi

Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF
Exactly..!
 
Back
Top Bottom