Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Relax kaka, hiyo ni Bawasili, mm ilinipata na imepotea yenyewe. Nilisoma articles kadhaa kuhusu hiyo nikagundua sio hatari kivile, nikarelax ikaisha yenyewe.
 
Kweli wanaume sisi ni majasiri honger mkuu kwa ujasir wako pia nkupe pole sana mkuu jaribu kumuomba huyo jamaa wa namba ya daktari nadhani ndio suruhixh xahih zaid
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we hamnazo kabix jamaa yuko serious na hii ixhu unafany kejeli utatigoliwa xku nyingin
Sasa binti kwa huu uandishi wako wa kutafuta mabwana si unanitafutia kesi?
 
Huo ugonjwa unaathiri zaidi watu wa kanda ya ziwa wanauita mang'ondi kiswahili unaitwa bawasiri wahi hospitor
 
Mkuu usipate hofu unachotakiwa kukufanya ni hiki zingatia
1)epuka kula ngano (mandazi, chapati punguza)
2)epuka kukaa chooni zaidi ya dk 5 hupelekea hiyo misuli kuto himili na sio nzuri kwa afya
3)kunywa maji mengi
4)epuka kula vitu vigumu (mf mahindi, mapera, kande)
5)punguza kula nyama mkuu
6)kula matunda kwa wingi
7)kunywa maji mengi

Yafanye hayo mkuu ulete mrejesho nakuhakikishia usipo pona najitoa JF
Tunahitaji watu wa ufahamu huu,
Asante mkuu,endelea kufanyika msaada siyo hao waleta porojo na kashfa,nadhani mdau atachukua ushauri huu,
 
simple ni bawasili ktk early stage...ikipevuka ndo utatamani ardhi ipasuke maana damu inayoambata na maumivu makali ya hicho kinyama si mchezo.

Dawa/tiba zipo huwa kuna vidonge unapewa hlf unaviingiza huko haja kubwa,na pia dawa za kisunna zipo plus matunda ili kulainisha kinyesi,ili wkt unaenda haja usipate maumivu sna. pole mkuu Mungu atakusaidia
Good
 
Ni ugonjwa uliompata mdogo wangu...alipata sana shida wakati wake haja....dawa yake ni opereshen tu na alifanyiwa na doctor fulani hapa dar....kama upo Tayali nikutumie no zake mpange...
Acha kusema operesheni tu,
Au sababu wewe ulipinesha kwa njia hiyo basi unaamini ni hiyo tu,
 
Hiyo inaitwa haemorrhoid

Huwa inasababishwa na kubeba vitu vizito au kupata choo ngumu

Tiba yake ni kuiondoa kwa operation au haemorrhoidectomy
Hizi haemo ni vidonge na km ndyo vinauzwaje mkuu
 
Jambo jema kumtumainia Mungu lakini hiyo pesa nusu yake au pungufu anaweza pata tiba ya hospital hapa nyumbani akaokoa muda na pesa huku akiendelea kumwomba Mungu mwenyewe au kwa wachungaji wa jirani na kwake.
Kaka Mungu hatumikiwi kinafki namna hii km mdao alivyofanya,na hiki ndo kitu kinafanya hata Mungu asitubariki,ss ni wanafki,
Badala ya kumsaidia mtu tiba iliyopo eneo husika anamshauri mtu aende Nigeria kwa mtu ambae hatujui kweli km anatumia nguvu za Mungu,
Nguvu za Mungu zipo kila mahali siyo huko tu ndo maana nimemuita mnafki,nguvu za Mungu hufanikishwa na imani yako,kwa nini asimwambie awaone watumishi wa Mungu wa eneo lake na awe na imani kuu,lkn pia hivi akili Mungu aliyowapa wanadamu wakagundua dawa mbadala na za kisasa siyo upinyaji wa Mungu kweli,
 
Ni kweli kaka.
 
Back
Top Bottom