Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Relax kaka, hiyo ni Bawasili, mm ilinipata na imepotea yenyewe. Nilisoma articles kadhaa kuhusu hiyo nikagundua sio hatari kivile, nikarelax ikaisha yenyewe.
Mmmmh,, huu ushauri mkuu hapana, asiufate kabisa maana unampoteza tu mwenzio,, wewe inawezekana haikuwa bawasili labda uvimbe tu wa kawaida but kama ilikua ni hemorrhoid(bawasili) isingeisha kizembe hivo…!!
 
Angeeleza za kumeza ama kupachika tungejua km ni anusol
Hii anusol ni dawa ya kidonge unafanya kupachika mkuu, ni dawa ila sikushauri sana uanze kujiweka madawa haya
Zingatia vile nimekushauri hapo juu hakika nakuahidi utapona then kunywa maji mengi kadri uwezavyo maana wa bongo kunywa maji ishu
 
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
yakweli haya?
 
Dada ungeiweka tu Humu jukwaani kwani wagonjwa tupo wengi na hii ndio maana ya jf ninaomba Lakini kwa faida ya wengi
 
Hiyo ni Bawasili, kwa hospitali huwa wanafanya operation ila kwa kienyeji ni rahisi zaidi maana ndiko wanakomaliza tatizo hilo. Sijajua uko wapi. Bibi yangu amesaidia wengi sana akiwemo dada mmoja wa hapa Dsm. Ugonjwa huo huwapelekea wengi kuona aibu kusema lakini ujasiri ndio tiba.
 
Pole sana sana jaribu haya lakini kumwona Daktari ni muhimu Kula mapapi,parachichi,matunda yenye nyuzi nyuzi,vyakula visifyokobolewa,pia tafuta beseni weka maji ya uvuguguvu na tiamo chumvi alafu kaa huko kwa beseni kwa mda then amka jifute,au weka kipande cha barafu funga kwa kitambaa ulale kifudifudi ukiwa umekiweka juu ya mkundu kwa mda.Pia ukikaa jitahidi kukalia mto.
 
Kikweli huyo ugonjwa huchangiwa na Ulagi wa vyakula vigumu ambavyo huumfanya MTU kukaa mda mrefu chooni na kumpelekea hali hiyo

Sasa niliwahi hisi hali hiyo kipnd cha mwaka jana katika hatua za awali ila nikapata ushauri wakubadili mtindo wa kula na kuzingatia mambo haya
Kula matunda
*Kunywa maji mengi
* Na kujipusha kujisaidia haja kubwa kwa mda mrefu.
Kwahyo hadi sasa naona zile dalili za awali zimekata kbsa japo mda mwingine mara moja moja joto ikiwa kali nahisi mwasho.

Ushauri ,zingatia matunda kula kabla ya chakula
21fefcb27851a2ea7b3ba32b468171ad.jpg
matunda yatayo kusaidia sana ni yale yenye nyuzi nyuzi
Kama
Maembe
Mapapai pia
Mboga za majani kwa sana wakat wa kula kama utakosa matunda
 
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.

Aende Nigeria kuombewa kwa ugonjwa unao weza kutibika hata hapa hapa Tz tena kwa bei nafuu.....yaani aunguze karibia 3m kwa matibabu ambayo hata elfu hamsini hayafiki akitumia dawa za mitishamba/asili.
 
Mkuu nenda hospital. Hiyo ninaitwa bawasil kama sikosei. Inatibika tu
 
Verry srry ila kuna m2 alishawahi niambia tuwe makini na sabuni tunazotumia znaweza leta madhara ikiwa pamoja na kutanua mkundu...

Ushauri nenda kwa dk. Wa ngozi...
 
Mkuu ilishawahi kunipata kitu kama hiyo mwaka 2016 nilienda hospital AAR tawi la tabata nikapewa dawa ndani ya wiki mbili tatizo likawa limeisha,kuna vidonge unaviingiza huko,nakuhakikishia tatizo litaisha
 
Nenda Hospitali kuna mawili upewe dawa au op. Ndogo
 
Back
Top Bottom