proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,924
Mmmmh,, huu ushauri mkuu hapana, asiufate kabisa maana unampoteza tu mwenzio,, wewe inawezekana haikuwa bawasili labda uvimbe tu wa kawaida but kama ilikua ni hemorrhoid(bawasili) isingeisha kizembe hivo…!!Relax kaka, hiyo ni Bawasili, mm ilinipata na imepotea yenyewe. Nilisoma articles kadhaa kuhusu hiyo nikagundua sio hatari kivile, nikarelax ikaisha yenyewe.