Heshima kwenu wana forums
Nahitaji msaada wanu kwa hili,
Nina bawasiri ya ndani kwa miaka 2 sasa
Ya kutoka na kurudi wakati wa kujisaidia
Nimeenda hospital nikiwa tayari nimejiandaa mentality kwa ajili ya upasuaji (ndo solution pekee niliyoamini) baada ya process zote
Nikahamishiwa surgery clinic kumuona Dr wa upasuaji (hapa ndo vipimo vya mwisho kabla ya kupewa number na kitanda cha maandalizi ya upasuaji)
Dr aliponipima zaidi ya 5 times
Kwa vidole ( unaingiziwa didole chenye mafuta) akagundua iko 7 degree at the end of first stage, nikashauriwa nisifanye upasuaji na nibadili mfumo wa chakula kwa angalau week 2 hadi 3 na kupewa dawa Anusal cream.
OMBI LANGU
Mwenye kunisaidia/kunielekeza dawa
Mbadala ya miti shamba ambayo itamaliza hili tatizo
Napatikana Mwanza