Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Tumia aloe vera gel inafaa unapaka na kama c mjamzito unakunywa
 
Pole sana Mkuu,hujafa hujaumbika...,lkn kwanini tatzo hili linawasumbua sana wakaz wa jijini Mwanza!
 
Nitafute kama unahitaji dawa, ndani ya wiki moja na siku nne hizo vimbe hutokaa uzione tena

Na baada ya kupona zingatia yale mambo yaliyokupelekea kupata hizo vimbe ili uonjwa usije ukakurudia tena
Ni vema ungeelezea tatizo la huyu mtu vizuri b'coz ni la ajabu mno ili tulijue
 
Kuna link nimeikuta humu nkaingia ni uzi w tangu 2008 hadi Leo nimekuta hii txt yako....inatibika kw a dawa za asili hospital hamna kitu na amin utapona.....sijui jinsi ya kuweka link ningekuwekea...ila search humu kwenye jukwaa LA madaktari unaweza kuipata
 
Pole sana ndugu, nenda hosptal ukafanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu sahihi.
 
Pole inatibika hiyo.... ! Chukua kitunguu swaumu utwange use unapakas hapo, kula Sana matunda na mapapai..


Wahi hospital..
Hivi kitunguu kinavyowasha kweli apake hapo ugonjwa si utazidi
 
external hermmohoid iyo bawasili inatibika,,, kanunue harbat sowda changanya na maziwa unywee au maji ya alovera pakaza daily, poleee saaana ata mm nlikua nasumbuliwa ndo nmalizia dawa au nends hospital isizid kwenda stage ya 3 /4
 
Mi nakupongeza we ni jasiri nna hakika utapona inshallah ugonjwa ushawahi nipata huo nkashauliwa kula matunda na maji mengi nkapona hadi Leo ila kama ulivoambiwa usile nyama.
 
una ujasiri wa kupiga na kupost jicho lako humu jamvini ila Hospitali huwezi kwenda. hatari!!
 
Salute Comrades..
Jana jioni rafiki zangu kadhaa walikuja kunijulia hali nyumbani baada ya muda mrefu kutoonana, tumepiga stori kitambo nikawaelezea amdhira yangu ndipo mmoja kati ya marafiki zangu akanieleza kitu..
Anasema kua alikua anajisikia maumivu katikati ya makalio kwa muda mrefu kidogo ila akawa anachukulia poa tu. Sasa jana ndo anaamka asubuhi anasikia uvimbe na anaumia sana katikati ya makalio (Anus) kweli anaumia na hata kutembea anatembea kwa tahadhari na kukaa anakaa kiupande...
Naombeni ushauri wenu maana nilimwambia asubiri niulize kwanza huku ndo tuone anafanyaje
Shida itakua nini?
Atumie dawa zipi?
Za kienyeji na kizungu au pia kama kuna tiba mbadala.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…