Mkuu hata mm hiyo ndani nahc nnayo mwezi wa 4 maumivu yanakuja na kupotea ukipata dawa na mm nchekdawa yake ni nini? mimi nina internal hemorrhoids,kuna wakati zinanisumbua nikitumia anusol zinapoa kama miezi 9 baadae zinarudi,nataka dawa ya kuzimaliza kabisa
Ok TutawasilianaMkuu hata mm hiyo ndani nahc nnayo mwezi wa 4 maumivu yanakuja na kupotea ukipata dawa na mm nchek
ninauza. kama unayahitaji utayapata. njoo inbox.mafuta ya black seed yanapatikana wapi mkuu? (hapo kwenye kutoa mafuta futa na nyama uzembe hapo)
Kweli bana,kuna mtu namfahamu kashikwa na hiyo kitu,nikasikia kalazwa nampigia simu kumuuliza unaumwa nini,ananiambia operation ya tumbo ila ni sehemu kidogo tu huna haja ya kuja natoka jioni,aliwaficha mpaka watoto wake,alipotoka ndio ananiambia,anasema alifanya siri,aliekuwa anajuwa ni mkewe peke yake...TATIZO LA BAWASIRI KWA BLACK SEED OIL HAIWEZI KUKATIZA. WAPO WATU WENGI TU HUMU WALIOPONA KWA MAFUTA HAYA YA BLACK SEED NIKIWEMO MIMI.SEMA TU KWA UGONJWA WENYEWE UNASHIKA SEHEMU MBVAYA MBAYA WATU WANAOGOPA KUTOA USHUHUDA.
huyo anakuwa na mazalia ya bawasili ya ndani ambayo inaweza kutibika kwa kula vyakula laini na vya kamba kamba mkuusasa kwamtu mwenye dalili kama kupata maumivu siku mojamoja na kutokwa na damu siku mojaja na hasa kwenye kili kipindi unachofululiza kula maharagwe au nyama ya ng'ombe. Lakini huhisi dalili yoyote ya uvimbe. je yeye vipi huyu?
hapana mkuu na yeye kuna njia zake huwa zinatumika kumsaidiaSasa mkuu tatizo likiwa in spiritual muathirika atatumia kama huyu wa kawaida??
hujafa hujaumbika yakikufika mlangoni kwako ndio utaelewa ni mzaha kabisaa,nimesoma kwa makini kumbe ni mzaha kabisa kama si kufundishana uchawi
asante kwa kuchangia mawazoDawa ipo ya kutumia siku 3 tuu hadi 5 tatizo linaisha, unapaka unga wake kwenye sehemu ya haja kubwa na nyingine kijiko kimoja unakoroga kwenye maji na kunywa mara mbili kwa siku na tatizo litatoweka
Jitumaji ya ganda la mgomba unaponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki .maelezo zaidi PM.
Elimu bahari akhyKhaa vitu vingine mnavikuza
mbona Mzizi mkavu alishaelezea ugonjwa huu na tiba zake
kifupi habari 50% ni kweli na iliyobaki i fix tupu
Dawa ni kunawa na maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi baadaye unamalizia na Dettol
kweli chanjo ni choo kigumu au kujisaidia maporini kwenye vumbi na Bakteria. kuingiza vitu vigumu kwenye njia hiyo ya haja kubwa km gunzi chupa nk