Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ana mda gani na hilo tatizo?
Hiyo ni bawa sili, inasababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na choo kua kigumu, kutokula vyakula vya nyuzi, kutokula mboga za majani kwa wingi, pia kukaa mda mrefu chooni, nk
Husababisha uvimbe mdogo ambao usipopata tiba inaweza kuwa kubwa , wengine huwa wanafanyiwa upasuaji.
Na zipo za aina mbili..ya ndani na nnje.
Ungeleeza vizuri, ningejuwa jinsi ya kukusaidia , kwani huu Uzi ni hatari uliwahi nipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni bawasir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah et kinyama iyo ni Hemorrhoids aisee a.k.a Bawasir

Mwambie aende hosp wajue ni ya aina gani ? ..

Tiba yake sana huwa nidawa za kupunguza maumiv ai sana ashauriwe vyakula na matunda zaid au Surgery ikiwa imefika hatua kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…