Operation huwa haimalizi hilo tatizo, hujirudia baada ya Muda fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi husaidia kupunguza maumivu kwa wagonjwa wa bawasiri. Ungekuwa hujafanya upasuaji ningeikushauri...Habari wanajukwaa,
Kama heading inavyojieleza, nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa bawasiri :nilijaribu kutumia dawa mbalix2 za kienyeji bila mafanikio ndio ikabidi niende hospital ya Nkinga iliopo tabora na nilifanyiwa operation ambayo ilienda vzur tu kwan tatzo lilikwisha kabisa.
Baada ya miezi miwili (2) tangu operation hiyo damu imeanza kutoka kila nikienda kujisaidia haja kubwa. Ingawa sisikii maumivu ya aina yoyote.
Nilienda hospital ya wilaya wakasema sina tatzo lakn damu inatoka.
Naomba msaada wenu wanajukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hzo dawa zinapatikana wapiHABARI NJEMA UGONJWA WA BAWASIRI UNAOWATESA WENGI SASA UMEPATA TIBA YA UHAKIKA
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOIDS)
~ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani au nnje ya haja kubwa wakati mwingine mishipa hiyo inaweza kupasuka /kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kinyama au uvimbe
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita hemorrhoids ilhali katika lugha ya kingereza unajulikana kama piles,
~tatizo hili huwaathiri zaidi watu wazima kuliko watoto na makadirio kuwa karibia 50%ya watu wote wako hatarini kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
{1}BAWASIRI YA NDANI
~hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii ya bawasiri imegawanyika katika madaraja manne
DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
DARAHA LA TATU ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
DARAJA LA NNE ~hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
[2}BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~Ugonjwa huu wa bawasiri mpaka sasa chanzo chake hasa hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo na hukuweka katika hatari ya kupata tatizo hili
~KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
~TATIZO SUGU LA KUHARISHA
~UJAUZITO
~UZITO MKUBWA
~MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
~KUPATA KINYESI KIGUMU KWA MUDA MREFU
~DALILI ZA BAWASIRI
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kupata kinyesi chenye damu
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI ALO SNACA NA ANION hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri.
ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI
MADHARA YA BAWASIRI
~Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri
KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Prepared by Dr Salim Amour
Cardio_thoracic surgeon
Kama unaumwa huo ugonjwa na unahitaji dawa, ni pm nikupatie namba ukachukue dawa ya uhakika
Litakuwa tapeli hili, Sasa ngoja siku likutane na usalama Wa Taifa huko PM ndio atajua biashara za siri zilivyo tamuKama unajua Dawa ilipo si useme masuala ya Ku pm ya nini tena ,mbona mnapenda sana ya siri hata kwenye mambo yasiyohitaji siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio tapeli ila huwezi kuanika namba ya mtu hadharani. Ila kama ana shida kweli atanifuata tu na hakika atapona kabisaLitakuwa tapeli hili, Sasa ngoja siku likutane na usalama Wa Taifa huko PM ndio atajua biashara za siri zilivyo tamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuhitaji Namba mkuu, ww to a Maelezo tuu yanatoshaWala sio tapeli ila huwezi kuanika namba ya mtu hadharani. Ila kama ana shida kweli atanifuata tu na hakika atapona kabisa
Semeni dawa ni nini kama ni tiba asili au za hospital, weka na beiKama unaumwa huo ugonjwa na unahitaji dawa, ni pm nikupatie namba ukachukue dawa ya uhakika