Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

He kumbe mie mgonjwa
Nenda kamuone Daktari akupime vizuri kwa hizo dalili zako inaonyesha wewe ni Mgonjwa. Wakati mwengine kamaunakuwa unajisikia hamu ya kwenda haja kubwa jaribu kujipaka sabuni yako ya kuogea kule kwenye njia ya haja kubwa kutarahisisha kukufanya upate haja kubwa kwa wepesi huo ndio ushauri wangu.

Wakati mwingine ukitaka kwenda haja kunwa nistue nije kuyachokonoa mavi kwanza na kitu laini ili yatoke kwa uraisi, ila andaa KY kabisa sio mafuta mgando
Mkuu unaleta Matusi kwenye hii J.F BAN itakuhusu kama huna cha kusema bora tu usome na kunyamaza tafadhali

Itabidi ahamie Moshi sasa, maana hapa mjini si atamalizia migomba yote m.kunduni kwake tu?

Ha ha ha ha ha ha ha... We ni noumer joumber.... Mjini kweli hakuna migomba aisee

duh nimecheka sana, there are some dude in here they dnt know what they are talkin...............................................lol

aisee nime pata ufumbuzi hapa jamani mana mi nlikua nacho kimoja hicho kinyama kwa miaka miwili sas na saiv kimeota kingine..na kinauma sana..mbya zaidi nkitoka chooni nashindwa hata kukaa mana vinavimba sana..hapo mpaka cku kama mbili zipite ndio napona jaman..nimetumia sana dawa za kunywa na kuingiza katika anus lakini bado..na mbaya zaidi natoa choo cha mbuzi ..yani nikibawa na haja nataman niwamishie mtu mana naumia sana..na pia tumbo hua lajaa sana mana yaeza pita wiki cjapata choo na kikitoka maumivu yake mhhhhhhhhhhh..nataka tu wakanifanyie upasuaji nadhani hii ndo dawa nzuri

Nenda hospitali kamuone Daktari atakufanyia oparesheni ndogo ya Upasuaji wa hivyo Vipele kwenye sehemu zako za siri hiyo ni kawaida tu lakini ukiachia huenda vikazidi na ukapata maradhi makubwa mungu akunusuru fanya upesi kumuona Daktari atakusaidia tu.

Pole sana kiongozi... Dah aisee huu ugonjwa unatisha na ukikaa kwa muda mrefu sana huwa unadevelop cancer. But nimeona kny post ukisema kuwa umepona cku mbil zilizopita, umetumia nn mkuu?

Kuna daktari mmoja ana dawa ya hii kitu, nilimuona ITV kwenye kipindi cha afya. Ebu jaribu kuwasilina na ITV wanaweza kukupa namba yake ukapata tiva.

Poleni sana, mtapona.

Pole sana kiongozi... Dah aisee huu ugonjwa unatisha na ukikaa kwa muda mrefu sana huwa unadevelop cancer. But nimeona kny post ukisema kuwa umepona cku mbil zilizopita, umetumia nn mkuu?
mimi nilisha kuumwa huo ugonjwa karibu yapata miaka 20 ulikuwa unakuja na kupotea haswa huku nilipo Nchi za baridi nilitumia Cream na dawa Vidonge vinaitwa Daflon 500 MG

DAFLON

DAFLON – Varicose Veins Treatment
In short:
*DAFLON has proven its superior clinical efficacy by at least 30% over nonmicronized ordinary due to unique high-tech micronization technology;
*Protects venous valves from inflammation, preventing the appearance of venous reflux;
*Protects the venous circulation from the inflammatory disease and makes the increases capillary resistance;
*Treats hemorrhoids.
daflon-500-Copy-300x198.jpg

Description: each DAFLON tablet contains micronized flavonoid fraction 500 mg (diosmin 450 mg and hesperidin 50 mg). It also contains carboxymethylcellulose sodium, microcrystalline cellulose, gelatin, magnesium stearate, talc, white beeswax, glycerol, hydroxypropylmethylcellulose (2910), polyethylene glycol 6000, sodium lauryl sulfate, yellow iron oxide, red iron oxide and titanium dioxide. DAFLON 500 mg is an effective varicose veins treatment that has a unique and rigorously demonstrated mode of action. Effects: DAFLON 500 mg prolongs the vasoconstrictor effect of noradrenaline on the vein wall, even under warm and acidotic conditions, increasing venous tone, and therefore reducing venous capacitance, distensibility, and stasis. This increases the venous return and reduces venous hyperpressure present in patients suffering from chronic venous disease (varicose veins). DAFLON 500 mg improves lymphatic drainage by increasing the frequency and intensity of lymphatic contractions, and by increasing the total number of functional lymphatic capillaries. Dosage: chronic venous disease (varicose veins): 2 tablets daily

Nilikuwa nakula kila siku asubuhi kimoja na usiku kimoja baada kwisha kula kwa muda wa mwezi mzima nimepona lakini pia ukitumia hivyo vidonge ule pamoja na Vidonge vya vitamin mimi nilikuwa natumia vidonge vya Vitamin vinaitwa supradyn kila siku unakula kimoja baada kwisha kula kwa muda wa siku 30 nikapona

supradyn.gif

Supradyn Information:

Why take Supradyn Recharge? The hectic pace of modern life demands a lot from our bodies so there are often times when our energy levels are low and we feel tired and run down. Daily use of Supradyn Recharge during these times gives your body the right balance of vital nutrients to help recharge your vitamin levels so you can get on with your busy life.

How Supradyn Recharge helps; Supradyn Recharge is a complex multinutrient formula containing an extra supply of the essential vitamins that your body looses when life has drained you. Supradyn Recharge helps you stay full of energy by putting back in what life takes out

Ikiwa bado hujapona Jaribu kutumia hii Dawa ya Kienyeji

maji ya ganda la mgomba unaponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki. usipopona nenda hospitalini kafanye Oparesheni ya ukataji hiyo Hemorhoids source

Shukran sana mzizi mkavu, umetishaaaaa hii ndo maana ya home of great people who thinks wisely.

ukali wa neno .......... umenifanya nicheke tu? duh hamna mubalagha

Choo kigumu hutibika kwa kunywa juice ya matepeta,kuhusu hivyo vinyama unatakiwa uvisugue na maji ya ndimu (hi ni kwasababu ndimu ina citric acid kwa wingi)

[h=1]Bawasiri (Hemorrhoids)[/h]
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri:
i. Nje
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
ii. Ndani
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;
• Tatizo sugu la kuharisha
• Kupata kinyesi kigumu
• Ujauzito
• Uzito kupita kiasi (obesity)
• Ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
• Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
• Umri mkubwa
Dalili za bawasiri;
• Damu kuchanganyika na kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
• Maumivu au usumbufu
• Kinyesi kuvuja
• Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
• Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
• Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri:
• Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
• Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi:
i. Digital rectal examination
ii. Proctoscope
iii. Sigmoidoscope
Matibabu :
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
i. Rubber band ligation- Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
ii. Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
iii. Coagulation (infrared, laser and bipolar)
iv. Upasuaji;
-Hemorrhoidectomy
-Stapled hemorrhoidopexy
Jinsi ya kuzuia Bawasiri:
• High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
• Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
• Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.

Back
Top Bottom