Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
He kumbe mie mgonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kamuone Daktari akupime vizuri kwa hizo dalili zako inaonyesha wewe ni Mgonjwa. Wakati mwengine kamaunakuwa unajisikia hamu ya kwenda haja kubwa jaribu kujipaka sabuni yako ya kuogea kule kwenye njia ya haja kubwa kutarahisisha kukufanya upate haja kubwa kwa wepesi huo ndio ushauri wangu.He kumbe mie mgonjwa
Mkuu unaleta Matusi kwenye hii J.F BAN itakuhusu kama huna cha kusema bora tu usome na kunyamaza tafadhaliWakati mwingine ukitaka kwenda haja kunwa nistue nije kuyachokonoa mavi kwanza na kitu laini ili yatoke kwa uraisi, ila andaa KY kabisa sio mafuta mgando
bawasiri inasababishwa na ukosefu wa choo pamoja na kupata choo kigumu ndugu. muone ndodi, ila jiandae kwa gharama za matibabu
Itabidi ahamie Moshi sasa, maana hapa mjini si atamalizia migomba yote m.kunduni kwake tu?
Nenda hospitali kamuone Daktari atakufanyia oparesheni ndogo ya Upasuaji wa hivyo Vipele kwenye sehemu zako za siri hiyo ni kawaida tu lakini ukiachia huenda vikazidi na ukapata maradhi makubwa mungu akunusuru fanya upesi kumuona Daktari atakusaidia tu.aisee nime pata ufumbuzi hapa jamani mana mi nlikua nacho kimoja hicho kinyama kwa miaka miwili sas na saiv kimeota kingine..na kinauma sana..mbya zaidi nkitoka chooni nashindwa hata kukaa mana vinavimba sana..hapo mpaka cku kama mbili zipite ndio napona jaman..nimetumia sana dawa za kunywa na kuingiza katika anus lakini bado..na mbaya zaidi natoa choo cha mbuzi ..yani nikibawa na haja nataman niwamishie mtu mana naumia sana..na pia tumbo hua lajaa sana mana yaeza pita wiki cjapata choo na kikitoka maumivu yake mhhhhhhhhhhh..nataka tu wakanifanyie upasuaji nadhani hii ndo dawa nzuri

Nenda hospitali kamuone Daktari atakufanyia oparesheni ndogo ya Upasuaji wa hivyo Vipele kwenye sehemu zako za siri hiyo ni kawaida tu lakini ukiachia huenda vikazidi na ukapata maradhi makubwa mungu akunusuru fanya upesi kumuona Daktari atakusaidia tu.
mimi nilisha kuumwa huo ugonjwa karibu yapata miaka 20 ulikuwa unakuja na kupotea haswa huku nilipo Nchi za baridi nilitumia Cream na dawa Vidonge vinaitwa Daflon 500 MG

Pole sana kiongozi... Dah aisee huu ugonjwa unatisha na ukikaa kwa muda mrefu sana huwa unadevelop cancer. But nimeona kny post ukisema kuwa umepona cku mbil zilizopita, umetumia nn mkuu?

mimi nilisha kuumwa huo ugonjwa karibu yapata miaka 20 ulikuwa unakuja na kupotea haswa huku nilipo Nchi za baridi nilitumia Cream na dawa Vidonge vinaitwa Daflon 500 MG

DAFLON

DAFLON – Varicose Veins Treatment

In short:

*DAFLON has proven its superior clinical efficacy by at least 30% over nonmicronized ordinary due to unique high-tech micronization technology;

*Protects venous valves from inflammation, preventing the appearance of venous reflux;

*Protects the venous circulation from the inflammatory disease and makes the increases capillary resistance;

*Treats hemorrhoids.

Description: each DAFLON tablet contains micronized flavonoid fraction 500 mg (diosmin 450 mg and hesperidin 50 mg). It also contains carboxymethylcellulose sodium, microcrystalline cellulose, gelatin, magnesium stearate, talc, white beeswax, glycerol, hydroxypropylmethylcellulose (2910), polyethylene glycol 6000, sodium lauryl sulfate, yellow iron oxide, red iron oxide and titanium dioxide. DAFLON 500 mg is an effective varicose veins treatment that has a unique and rigorously demonstrated mode of action. Effects: DAFLON 500 mg prolongs the vasoconstrictor effect of noradrenaline on the vein wall, even under warm and acidotic conditions, increasing venous tone, and therefore reducing venous capacitance, distensibility, and stasis. This increases the venous return and reduces venous hyperpressure present in patients suffering from chronic venous disease (varicose veins). DAFLON 500 mg improves lymphatic drainage by increasing the frequency and intensity of lymphatic contractions, and by increasing the total number of functional lymphatic capillaries. Dosage: chronic venous disease (varicose veins): 2 tablets daily

Nilikuwa nakula kila siku asubuhi kimoja na usiku kimoja baada kwisha kula kwa muda wa mwezi mzima nimepona lakini pia ukitumia hivyo vidonge ule pamoja na Vidonge vya vitamin mimi nilikuwa natumia vidonge vya Vitamin vinaitwa supradyn kila siku unakula kimoja baada kwisha kula kwa muda wa siku 30 nikapona

Supradyn Information:

Why take Supradyn Recharge? The hectic pace of modern life demands a lot from our bodies so there are often times when our energy levels are low and we feel tired and run down. Daily use of Supradyn Recharge during these times gives your body the right balance of vital nutrients to help recharge your vitamin levels so you can get on with your busy life.

How Supradyn Recharge helps; Supradyn Recharge is a complex multinutrient formula containing an extra supply of the essential vitamins that your body looses when life has drained you. Supradyn Recharge helps you stay full of energy by putting back in what life takes out

Ikiwa bado hujapona Jaribu kutumia hii Dawa ya Kienyeji

maji ya ganda la mgomba unaponda na kupaka kwenye unyeo kutwa mara tatu kwa wiki mbili.mi nimepona .anusol haikunisaidia pamoja na kuitumia kwa miaka miwili .mgomba just two wiki. usipopona nenda hospitalini kafanye Oparesheni ya ukataji hiyo Hemorhoids source

ukali wa neno .......... umenifanya nicheke tu? duh hamna mubalagha
haya burner bana

****** n kitu ya kawaida tu mzee! Unaeza ukasema tgo na watu wasielewe

vipi niliwahi sikia kua tatizo hili pia huwakumba sana madereva wa masafa marefu
Je bawasiri husababishwa na nini?