Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Habari wana jamvi, ningependa mnisaidie kwale madaktari ambao watakuwa na uelewa juu ya tatizo langu, ama kwa wadau wengine kunipeni ushauri nini cha kufanya. nimekuwa nikiwashwa sehemu ya haja kubwa mara tu nitokapo haja kwa mda wa miaka 4 sasa na kana wakati nina washwa hadi napatwa maudhi kiasi cha kwamba huya haiitaji nitembee, nimezunguka hospitali mbalimbali ikiwemo muhimbili lakini sijaweza fanikiwa. tafadhali naombeni msaada wenu.
 
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea madokta wanaona aibu kukuambia.
 
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea, miwasho ikizidi utaanza kutamani ukuni, madokta wanaona aibu kukuambia.Kuna jamaa ninamfahamu kapona kwa kuombewa.
 
Umetumia madawa aina gani? Umetumia dawa ya minyoo hasa pin worm?
 
inawasha kwa ndani au kwa nje mkuu....kwa iyo huwa unaikuna?au inakuaje...uwasho gani huo jamani..jaribu kuwaona madokta bingwa labda....watakupa dawa zakupaka....maana unaweza ukaanza kutamani kuingiziwa maukuni sasa..pole sana
 
Kuna aina fulani ya minyoo, nimesahau jina...! Tahadhari ni kwamba usijaribu kuukuna, bali tafuta dawa ya minyoo...!
 
Mkuu pole hiyo ni fangasi inawezekana walianza nje then wakainiga ndani sasa wameshakomaa na inatakiwa tibakubwa ya kuua kwani huenda wakakomaa zaidi mpaka kwenye Uti wa mgongo jaribu kuwaona Specialist wa ngozi pale mmc
 
Pole sana Mpwa, mwaya mie sijui lolote labda ujaribu kuingia kwenye mitandao wawezapata ushauri na jibu sahihi pia, pole na MUNGU atakuponya pia.
 
Huwa unatawaza baada ya kutoa kubwa? Au hujisafishi vizuri? mmmh ila msubiri dokta manake..................
 
Mkuu angalia kwa makini huwa ukiingiliwa kimwili kunaweza kukusababishia hiyo......angali unaezakuwa unaingiliwa kimwili usiku kishirikina...ukaombewe kweli si uongo
 
mkuu we cant exmine you on the internet but ugonjwa wako kwa kitaalamu twaita anal pruritus au Pruritus ani ( sijui kiswahili chake) ! & usiwasikilize hawa wanaokwambia uende kwenye maombi... nenda kwa dactari... & it doesn't get more worse than anal pruritus ambayo inakuwa caused by local and systemic diseases such as hemorrhoids, anal fissure, anal fistula, diarrhea, diabetes, parasitic diseases ...!

Usione aibu tafuta dactari muoneshe huko unakowashwa... 4 years ! ni miaka mingi mnoo anal pruritus inatibika...
 
Mijitu ya JF mingine bwana nafikiri imelaaniwa mtu anauliza tatizo la mkund kuwasha jitu linaleta pombe hii miroba mnayokunywa mchana noma!!
Kama hujui kitu jaribu kukaa kimya kwani wee mkund wako haujawai kukuwasha????:angry:
 
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea madokta wanaona aibu kukuambia.

Jibu gani hilo, kwa mtu ambaye anashida jamani, hujafa hujaumbika usinyanyue pua wewe, kwani amekulazimisha umjibu sio vizuri kutoa majibu ya dhihaka.
 
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea, miwasho ikizidi utaanza kutamani ukuni, madokta wanaona aibu kukuambia.Kuna jamaa ninamfahamu kapona kwa kuombewa.
Mtu anakuja na shida yake serious,katika jukwaa husika mtu mzima na akili zako badala ya kutoa ushauri kwa busara unaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa Busara,Ebu imagine huyo ndugu ni ndugu yako na ameshaangaika kwa muda wa miaka minne kutafuta suluhu ya matatizo yake je ungethubutu kumshauri kwa jinsi hiyo?.
 
Pole sana, jaribu kwenda Agakhan hosp kuna dr hua anatoka muhimbili, anaitwa simbakaria sijui kali kitu kama hicho ni mtaalam wa magonjwa yanayofanana na hayo na imani ataweza kukusaidia. Pia kua ukimeza dawa za minyoo kila baada ya muda. Mungu akuponye.
 
Habari wana jamvi, ningependa mnisaidie kwale madaktari ambao watakuwa na uelewa juu ya tatizo langu, ama kwa wadau wengine kunipeni ushauri nini cha kufanya. nimekuwa nikiwashwa sehemu ya haja kubwa mara tu nitokapo haja kwa mda wa miaka 4 sasa na kana wakati nina washwa hadi napatwa maudhi kiasi cha kwamba huya haiitaji nitembee, nimezunguka hospitali mbalimbali ikiwemo muhimbili lakini sijaweza fanikiwa. tafadhali naombeni msaada wenu.
Pole sana mkuu,mbona tatizo lako jinsi ulivyolielezea ni ugonjwa wa kawaida ambao unatibika,iweje uzunguke nao kwa muda wa miaka minne tena mpaka hospitali ya Rufaa bila suluhisho?mi nadhani mkuu inawezekana ukawa hauko wazi kwa madaktari unaokutana nao kuhusu tatizo lako,nakushauri nenda tena hospitali kajieleze historia nzima ya tatizo lako pamoja na dawa ambazo umeshawahi kutumia na hakika utapata tiba kiongozi na utapona kabisa.
 
Back
Top Bottom