oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
dah asanteni sana jamani nimeanza kulifanyia kazi japo bado nasumbuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea madokta wanaona aibu kukuambia.
Mtu anakuja na shida yake serious,katika jukwaa husika mtu mzima na akili zako badala ya kutoa ushauri kwa busara unaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa Busara,Ebu imagine huyo ndugu ni ndugu yako na ameshaangaika kwa muda wa miaka minne kutafuta suluhu ya matatizo yake je ungethubutu kumshauri kwa jinsi hiyo?.Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea, miwasho ikizidi utaanza kutamani ukuni, madokta wanaona aibu kukuambia.Kuna jamaa ninamfahamu kapona kwa kuombewa.
Pole sana mkuu,mbona tatizo lako jinsi ulivyolielezea ni ugonjwa wa kawaida ambao unatibika,iweje uzunguke nao kwa muda wa miaka minne tena mpaka hospitali ya Rufaa bila suluhisho?mi nadhani mkuu inawezekana ukawa hauko wazi kwa madaktari unaokutana nao kuhusu tatizo lako,nakushauri nenda tena hospitali kajieleze historia nzima ya tatizo lako pamoja na dawa ambazo umeshawahi kutumia na hakika utapata tiba kiongozi na utapona kabisa.Habari wana jamvi, ningependa mnisaidie kwale madaktari ambao watakuwa na uelewa juu ya tatizo langu, ama kwa wadau wengine kunipeni ushauri nini cha kufanya. nimekuwa nikiwashwa sehemu ya haja kubwa mara tu nitokapo haja kwa mda wa miaka 4 sasa na kana wakati nina washwa hadi napatwa maudhi kiasi cha kwamba huya haiitaji nitembee, nimezunguka hospitali mbalimbali ikiwemo muhimbili lakini sijaweza fanikiwa. tafadhali naombeni msaada wenu.