Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

inawasha kwa ndani au kwa nje mkuu....kwa iyo huwa unaikuna?au inakuaje...uwasho gani huo jamani..jaribu kuwaona madokta bingwa labda....watakupa dawa zakupaka....maana unaweza ukaanza kutamani kuingiziwa maukuni sasa..pole sana

tafsida imetumika.
 
Mijitu ya JF mingine bwana nafikiri imelaaniwa mtu anauliza tatizo la mkund kuwasha jitu linaleta pombe hii miroba mnayokunywa mchana noma!!
Kama hujui kitu jaribu kukaa kimya kwani wee mkund wako haujawai kukuwasha????:angry:
Kaka kiza mbona unatukana? jaribu kuwarekebisha wengine humu ndani ni waharibifu sana Mtu anauliza Dawa ya kutibu maradhi ya kuwashwa washwa watu wengine wanaleta masihara. Pole sana mgonjwa mimi nakuuliza swali moja mwenzetu mwenye ugonjwa wewe ni Mwanamke au mwanamme?
 
angalau umesema mwenyewe na tatizo hilo hilo leo imebidi nijibanze pale posta kwenye visanduku nikajikuna weee ndo nikatoka
 
Kaka kiza mbona unatukana? jaribu kuwarekebisha wengine humu ndani ni waharibifu sana Mtu anauliza Dawa ya kutibu maradhi ya kuwashwa washwa watu wengine wanaleta masihara. Pole sana mgonjwa mimi nakuuliza swali moja mwenzetu mwenye ugonjwa wewe ni Mwanamke au mwanamme?
To be honest sipendi nasikia vibaya pale mtu analeta tatizo lake kwanza angalia content iliyopo ndo ujibu mtu awezikuleta swali kama hili nizito pili nikama kujidhalilisha lakini isitoshe mtu kaweka thread yake!!Hayawani mmoja anaanza kuleta chenga kwenye vitu makini!!
 
Pole sana mkuu.jaribu kuwaona madaktari watakusaidia.pia kuna kile ki hospitali pale opposite na Indumandary kinaitwa Natural therapy kama sijakosea kuna madakitari wazuri,pia acha kutumia sabuni kuosha sehemu zako za siri zilizo ndani kwani sabuni nyingine zina chemical zinazoweza kukusababishia matatizo baada ya faraja.
 
doctor ukimueleza ukweli na chanzo cha ugonjwa atakupa tiba sahihi..4years ni mingi kwa ugonjwa uliolezea..ungekua umeshapona..
 
inawasha kwa ndani au kwa nje mkuu....kwa iyo huwa unaikuna?au inakuaje...uwasho gani huo jamani..jaribu kuwaona madokta bingwa labda....watakupa dawa zakupaka....maana unaweza ukaanza kutamani kuingiziwa maukuni sasa..pole sana
Jamaa kaomba ushauri hivyo acheni kumdhihaki. Kumbuka amesema miaka minne ana tatizo hilo so kama in dalili ya "upunganyo" angekuwa ashaanza kufanya hivyo.
Kuweni na staha basi jamani.
 
ili asaidiwe vyema ni bora ajieleza kuwa ni mwanamke au mwanaume- maana kama n mwanamke kuna magonjwa ya kike yanapelekea hilo
La pili atueleze huwa anawashwa mda gani na wakati akiwashwa anasikia raha au machungu.,?
 
Njoo ufanyiwe maombi njoo uombewe tatizo lako ni dogo coz mara nyingi huwa ni dalili za ubwabwanyo au upunganyo unakusogelea madokta wanaona aibu kukuambia.

Wewe acha majibu ya kipumbavu, mwenzako anaomba ushauri kwa tatizo alilo nalo, wewe unajibu upuuzi, kama huna ushauri kaa kimya. Mbona wewe umeomba ushauri wa kuwa omba omba mchovu kwa jimama, na watu wamekupa ushauri kwa kiwango chako. Na kwa wewe unavyoendelea kutaka mteremko kwa huyo mama unaelekea kuwa bwabwa au punga kabisa!!
 
Tatizo lako linatokana na kutokunywa maji ya kutosha,hivyo imesababisha kuwa unapata kinyesi kigumu ambacho hulazimisha kupita katk njia ya haja kubwa na hivyo kusababisha michubuko/aina ya nyama kutoka kwa nje ikiambatana na damu.sasa yale maumivu ya sehemu ya haja kubwa na ile nyama ambayo mara nyingi huwa inapata vidonda ndio huwasha kila unapoenda haja kubwa na unaponawa maji.
usipoangalia unaweza kunawa maji mengi kwa sababu kila ukipitisha mkono unakuwa kama unakuna ile sehemu hivyo ukiacha ndio chanzo cha muwasho ambacho husababisha hata kutembea/kukaa kuwe kwa aina fulani.
ushauri:
1kunywa maji mengi wastani wa glass nane kwa siku.
2.Pendelea kula mataunda kwa wingi na hasa papai.
3.Epuka kula vyakula vigumu.
4.Kwa kipindi hiki unachowashwa usipende kuvaa nguo nyingi ili kuruhusu hewa kupita na kuponyesha vidonda.
Nahisi ntakuwa nimekusaidia kwa kiasi fulani
 
inawasha kwa ndani au kwa nje mkuu....kwa iyo huwa unaikuna?au inakuaje...uwasho gani huo jamani..jaribu kuwaona madokta bingwa labda....watakupa dawa zakupaka....maana unaweza ukaanza kutamani kuingiziwa maukuni sasa..pole sana
Hiyo dalili ya ushoga kabisa,hata ukiona mtu anafurahia sana kwenda haja kubwa ngumu ngumu ndo wale wale!
 
Tatizo lako linatokana na kutokunywa maji ya kutosha,hivyo imesababisha kuwa unapata kinyesi kigumu ambacho hulazimisha kupita katk njia ya haja kubwa na hivyo kusababisha michubuko/aina ya nyama kutoka kwa nje ikiambatana na damu.sasa yale maumivu ya sehemu ya haja kubwa na ile nyama ambayo mara nyingi huwa inapata vidonda ndio huwasha kila unapoenda haja kubwa na unaponawa maji.
usipoangalia unaweza kunawa maji mengi kwa sababu kila ukipitisha mkono unakuwa kama unakuna ile sehemu hivyo ukiacha ndio chanzo cha muwasho ambacho husababisha hata kutembea/kukaa kuwe kwa aina fulani.
ushauri:
1kunywa maji mengi wastani wa glass nane kwa siku.
2.Pendelea kula mataunda kwa wingi na hasa papai.
3.Epuka kula vyakula vigumu.
4.Kwa kipindi hiki unachowashwa usipende kuvaa nguo nyingi ili kuruhusu hewa kupita na kuponyesha vidonda.
Nahisi ntakuwa nimekusaidia kwa kiasi fulani

kuongezea tu pia awe anakula vyakula vya roughage kama kabichi.pia kula ndizi mbivu,na pia upate kula bamia zilizopikwa katika mboga.zitakupa choo laini.
Wakati wa kujisaidia tumia toiletipepa na MAJI.Narudia na MAJI.
 
uvimbe kwenye njia ya haja kubwa ni tatzo linalo wapata watu wa jinsia zote yaani me au ke kitaalamu huitwa haemorrhoid or piles au viotea ktk puru tatzo hutokana na sababu mbalmbl mala nying htkea unaporazmisha kutoa haja kubwa hasa unapokua na tatz la kukosa choo kwa mda mrefu yaan constipation au kutokana na kula vyakula visivyo laini.tatzo hili pia hutkea sana kwa akna mama wajawazto sasa sjajua wewe ni mama au baba.kuna dawa unazoweza kupewa na kuzichomeka km vile anusol supp.au proctosedyl supp nk dawa hiz mala nyng hutuliza na kuliahrisha tatz kwa muda tu hivyo hudhuria kituo cha tiba unaweza kfanyiwa upasuaji kadiri daktar atakavyoona tatzo lako.USHAURI WA NYONGE
 
Inakutokea kupata choo kigumu au kufunga choo (constipation) mara kwa mara?
 
Nadhani kutokupata matunda kwenye mlo wetu inachangia ilo tatizo choo kuwa kigumu!
 
Back
Top Bottom