Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Hizo ni dalili za colon cancer, awahi hospitali hicho kinya kikatwe kifanyiwe uchungiz zaidi(biopsy)

Ajenge utaratibu wa kula vyakula vyenye fibre kama ugali wa dona, mchicha, machungwa nk
Kama yuko Dar asahau kuhusu dona,Dar katika kutengeneza dona wanaweka pumba na magunzi inakuwa jeusiii na chungu,sanasana atakuwa amekula sumu.
 
Habari zenu wakuu

kuna rafiki yangu amepata na jambo la kushangaza ameniambia kuna kinyama kimetokeza kwenye anus ambacho akikigusa kinaumaa. Ila kutembea na kukaa hakuna maumivu yoyote

Nimemuuliza maswali machache amesema ameshindwa kwenda kupata choo kwa sababu panauma.

Ila nimemshauri kwenda hospita this week

Swali langu kwenu ni tatizo litakuwa ni nini.!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aende hosp watakiondoa hicho kinyama kwa upasuaji mdogo,pia ajitahidi kutumia maji,vyakula vya nyuzinyuzi na matunda katika milo ili asipatwe na shida hiyo wakati mwingine kwani kunya kwa kujikamua sana huzalisha adha kama hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
marehem bibi yangu alikuwa anatibu hili tatizo ndani ya siku3 tuu, ujinga nilioufanya sikuwahi kumuuliza, ila nakumbuka jina la mti 1 tuu kati ya mchanganyiko wa miti 3 ya tiba hii!
 
Hii nazungumzia External Hemorrhoids au Bawasili inayotokea upande wa nnje, nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakipoteza Garama kubwa kuhangaika nayo kwa kuifanyia upasuaji na Baadhi wamekuwa wakisema baada ya upasuaji ugonjwa huu huwa unajirudia tena

Pia mkumbuke kuwa swala la (Surgey) upasuaji huwa lina matokeo mawili either liende vizuri au likatae na kuleta madhara zaidi au kuzalisha ugonjwa mengine kama cancer n.k na ndio maana kabla ya kufanyiwa upasuaji wowote ni lazima usign kuwa umekubali.

*Nini cha kufanya unapopatwa na Ugonjwa huu ?

Wengi wanaopata ugonjwa huu huwa ni waoga na wengi hudhani kuwa njia ya upasuaji ndio njia pekee ya kulimaliza tatizo hili kwa haraka lakini sio kweli, kama hautadhibiti mambo ambayo yalikupelekea kuupata ugonjwa huu basi jua huu ugonjwa hata ukifanyiwa upasuaji utajirudis tu.

So unapota huu ugonjwa kitu cha kwanza unatakiwa uchunguze ni kitu gani kilichokupelekea uupate kama kupata choo kigumu, kutumia baadhi ya sabuni za kuogea ambazo sio nzuri, kutumia vinywaji vyenye caffeine kwa wingi kama kahawa, chai na Soda, kutokunywa maji kwa wingi, ujauzito kwa wanawake, kunyanyua vitu vizito n. K

Hivyo ugonjwa huu unauwezo wakuondoka wenyewe bila kufanyiwa upasuaji kwa kubadili mfumo wa vyakula ambao ndio hupelekea mara nyingi watu kuupata ugonjwa huu, so unapoupata unatakiwa kufanya mambo haya mara moja na utaondoka wenyewe bila ya kufanyiwa upasuaji

~Hakikisha unakunywa maji kwa wingi ili kupata choo laini

~Epuka ulaji wa vyakula vya ngano kama mikate, chapati, maandazi n. K

~Epuka kusimama kwa mda mrefu

~Usitumie vinywaji kama Kahawa, Soda, maziwa fresh ambayo kitaalam yanasemekana kuwa hupelekea kuzalisha gesi tumboni ambayo hupelekea kuzidisha maumivu na vimbe

~Usitumie pilipili, Chumvi nyingi kwenye chakula, usile vyakula vilivyokobolewa kama ugali wa sembe, ngano, mchele,pia usitumie kwa wingi nyama nyekundu machungwa pia usitumie

~Kunywa maji kwa wingi pia tumia vyakula visivyokobolewa kama ugali wa dona, kula matunda kwa wingi hasa mapapai na ovacado (parachichi)

~Kula mboga za majani kwa wingi hasa spinach na mchina, ni mboga ambazo kitaalam zina fiber nyingi ambayo itapelekea kuondoa hizo vimbe automatically.

~Pia angalia sabuni unazotumia kuogea baadhi ya sabuni hupelekea hilo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa lakini kuna upungufu kidogo ktk ushauli wako,hapo chini umemalizia kwa kutushauli tuangalie aina za sabuni za kutumi.hapa ulipaswa kutoa unachojua kama msaada kwamba tutumie sabuni aina fulani ili tufuate vyema ushauli huu.maana hatujajua ni sabuni gani sasa zinashauliwa kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie hapo kwenye vitu ambavyo hatutakiwi kutumia vina shida gani?
 
WEWE MTAALAMU VIP AISEE!!!,MBONA KICHWA CHA HABARI NI TOFAUTI NA MAELEZO.

umeaandika njia za kuuepuka badala ya njia za kuuondoa kama kichwa cha habari.
Ni kweli kabisa. Hajasema nini kifanyike ili kuliondoa tatizo. Yeye anazungumzia kuhusu kuepuka.
 
Hii nazungumzia External Hemorrhoids au Bawasili inayotokea upande wa nnje, nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakipoteza Garama kubwa kuhangaika nayo kwa kuifanyia upasuaji na Baadhi wamekuwa wakisema baada ya upasuaji ugonjwa huu huwa unajirudia tena

Pia mkumbuke kuwa swala la (Surgey) upasuaji huwa lina matokeo mawili either liende vizuri au likatae na kuleta madhara zaidi au kuzalisha ugonjwa mengine kama cancer n.k na ndio maana kabla ya kufanyiwa upasuaji wowote ni lazima usign kuwa umekubali.

*Nini cha kufanya unapopatwa na Ugonjwa huu ?

Wengi wanaopata ugonjwa huu huwa ni waoga na wengi hudhani kuwa njia ya upasuaji ndio njia pekee ya kulimaliza tatizo hili kwa haraka lakini sio kweli, kama hautadhibiti mambo ambayo yalikupelekea kuupata ugonjwa huu basi jua huu ugonjwa hata ukifanyiwa upasuaji utajirudis tu.

So unapota huu ugonjwa kitu cha kwanza unatakiwa uchunguze ni kitu gani kilichokupelekea uupate kama kupata choo kigumu, kutumia baadhi ya sabuni za kuogea ambazo sio nzuri, kutumia vinywaji vyenye caffeine kwa wingi kama kahawa, chai na Soda, kutokunywa maji kwa wingi, ujauzito kwa wanawake, kunyanyua vitu vizito n. K

Hivyo ugonjwa huu unauwezo wakuondoka wenyewe bila kufanyiwa upasuaji kwa kubadili mfumo wa vyakula ambao ndio hupelekea mara nyingi watu kuupata ugonjwa huu, so unapoupata unatakiwa kufanya mambo haya mara moja na utaondoka wenyewe bila ya kufanyiwa upasuaji

~Hakikisha unakunywa maji kwa wingi ili kupata choo laini

~Epuka ulaji wa vyakula vya ngano kama mikate, chapati, maandazi n. K

~Epuka kusimama kwa mda mrefu

~Usitumie vinywaji kama Kahawa, Soda, maziwa fresh ambayo kitaalam yanasemekana kuwa hupelekea kuzalisha gesi tumboni ambayo hupelekea kuzidisha maumivu na vimbe

~Usitumie pilipili, Chumvi nyingi kwenye chakula, usile vyakula vilivyokobolewa kama ugali wa sembe, ngano, mchele,pia usitumie kwa wingi nyama nyekundu machungwa pia usitumie

~Kunywa maji kwa wingi pia tumia vyakula visivyokobolewa kama ugali wa dona, kula matunda kwa wingi hasa mapapai na ovacado (parachichi)

~Kula mboga za majani kwa wingi hasa spinach na mchina, ni mboga ambazo kitaalam zina fiber nyingi ambayo itapelekea kuondoa hizo vimbe automatically.

~Pia angalia sabuni unazotumia kuogea baadhi ya sabuni hupelekea hilo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna dawa za mitishamba na nyengine zipo mitaani zinajiotea na watu hatujui kama ni dawa. Mchanganyiko wake ukishaupata unauweka kwenye hiyo nyama iliyotoka unaibana hivi kwenye makalio, ila uvumilie kwa sababu itawasha. Lakini ndiyo dawa yenyewe utapona na nimeshuhudia hili na huyo mgonjwa ndani ya wiki tu alipona.
 
Back
Top Bottom