kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Mkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.Inaweza kuwa Bawasili(external haemorrhoids) katafute Anthaemorrhoids ointment yaweza kuwa ya brand( prednisolone+cinchocaine-ni bora zaidi inarange 30k zinapatikane Famaa ya kuingilia Muhimbili National Hospital) au tofauti za bei rahis ie Anusol or pylocaine ointment.
Unywe na paracetamol.