mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Siwezi kulisemea mkuu,emu tulitafiti sote.Pia pombe nasikia haitakiwi,sijui ni kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kulisemea mkuu,emu tulitafiti sote.Pia pombe nasikia haitakiwi,sijui ni kweli
Ila huo uvimbe Sawa yake ni kisu. Sikutishi ila ndio tiba ya kudumu. Hayo mengine yote ni FIBA baada ya hiyo procedure.
Kwa maelezo yake jamaa anaumwa bawasiri!!Usidharau hiyo hali, muone daktari si kwa kukutisha lakini inaweza kuwa dalili za saratani ya utumbo mkubwa.
Kula matunda na kunywa maji litre mbili au zaidi kwa siku.
Kula chakula chenye fibre kama makande, mharage, mchicha kisamvu wali wa brown au mkate huo wa brown.
Mkuu huo ugonjwa unaitwa bawasiri wahi kupata matibabu usije poteza na nguvu za kiume bureNi muda sasa hili tatizo linanisumbua ,ilianza kama kinyesi kinakua cha pingilipingili kigumu.kikiwa kimechanganyikana na damu,wakati wa kunya ni shida,maumivu makali sana,,wakati mwingine muwasho ile mbaya nikaenda hospital nikapewa dawa tatizo likapotea.pia kuna dawa za kienyeji nilikua natumia .
Hali imejirudia,niliweka kioo kuangalia nikaona nyuma ya mfereji wa tundu la mkundu kuna kanyama kameota,kana fanana na ngozi tu ya kawaida,nisipo kunya nikakaa kama siku mbili pale panaacha kuuma,nikinya baada ya nusu saa maumivu yanaanza kwa ndani ,na pembeni pamevimba kama jipu ,na zaidi ya wiki sasa,nifanyaje ndugu zangu?,namawazo sana,je ntapona kweli?
Salaam!! Waungwana nisaidieni kujua tiba ya bawasili.
Matibabu ya mwanzo ya maradhi madogo hadi yale ya kawaida huwa na ongezeko la kulaSalaam!! Waungwana nisaidieni kujua tiba ya bawasili.
Ni ushauri pia. SkukranKwan humu n hospital mkuu?? Nenda hospital
Mkuu umeponaje? Msaada tafadhaliSio mtaalamu wa afya but kwa maelezo yake hiyo haikosi kuwa hemorrhoids/anal fissures/anal pilles a.k.a bawasiri, hii husababishwa na constipation,kukaa muda mrefu ktk surface ngumu, anual sex,baadhi ya bacteria nk, ila inatibika kwa namna mbalimbali kutegemea na aina make IPO external and internal haemorrhoids, kwa hiyo jaribu kwenda hospital kubwa kidogo ili wakushauri na aina ya tiba utakayoanza nayo kulingana na hali.......mm mwenyewe nilkuwa mhanga mkubwa but now Mungu mkubwa nimepona
Nawe inakutesa mkuu?Mkuu umeponaje? Msaada tafadhali
Ndio, nina ile ya ndani inayotoka wakati wa kujisaidia. Haiumi lakini ina miaka kibao. Mwanzo sikujua kama ni ugonjwa hadi nilivyosoma humu jf juzikati tu.Nawe inakutesa mkuu?
Ndio, nina ile ya ndani inayotoka wakati wa kujisaidia. Haiumi lakini ina miaka kibao. Mwanzo sikujua kama ni ugonjwa hadi nilivyosoma humu jf juzikati tu.