Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bawasiri ni mojawapo ya tatiz
Chidy benz, kwanza kamuone dactari wakati huo huo endelea kutafuta na kula mboga za majani kwa wingi na usisahau maji mengi ya kunywa.PoleJamani mficha maradhi kifo humuumbua, mwanzo nilikuwa najisikia muwasho katika sehemu ya haja kubwa nikadhani ni sababu sijachamba vizuri kwakuwa nipo shule ya bweni kuna uhaba mkubwa wa maji ila muwasho ulpoendelea nilijichunguza vizuri na kugundua kuna kauvimbe kama kanyama kametuna nilipouliza nikaambiwa ni tatizo la costpation na kwel huku unaweza ukala milo hata miwil4 bila kunywa maji. Je nnaweza tumia njia gan ili tatizo lisiendelee?
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Vipimo na uchunguzi
Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea h