mdogo wako ana external hemorrhoids au piles,.aende hospitali atapatiwa dawa,,,ila abadili diet ale vyakula vyenye fiber sana eg matunda na mbogamboga na maji mengi ili asijikakamue aendapo chooni,,,maumivu yakimzidi mwambie aweke maji ya moto kwenye karahi then ayakalie kwa dakika 15 akiweza mara tatu kwa siku....then anaweza kuweka kibaraku kwenye nailoni then akawekea kwa juu ya uvimbe ili uvimbe upungue...onyo: asinyanyue vitu vizito,asile pilipili au vyakula vigumu......akifuata hayo maelekezo ninahakika atakuwa safi within few days...lakini mpeleke hospitali coz atakuwa na tatizo jingine zaidi ya piles coz piles hazisababishi kuumwa tumbo.....ukitaka maelezo zaid kuwa huru..