Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Wakuu habari zenu,

Naomba mwenye kujua dawa ya bawasiri anielekeze kwasababu imenisumbua muda mrefu sana.
 
Hivi karbuni kumekuwepo na changamoto za magonjwa mbali mbali.

Hii yote ni kutokana na mtindo wa maisha yunaoishi Leo naenda kuangazia ugonjwa wa bawasri au mgoro! Bawasri ni nini?

Huu ni ugonjwa unaotokakana na kuota kinyama kwenye njia ya haja kubwa. NI NINI HASA CHANZO CHA BAWASRI?! Chanzo kikubwa cha bawasri ni kukaa kitako kwa mda mrefu.

Hapa walengwa ni watu wanaofanya kazi za u dreva ,watu wanaofanya kazi maofsini n.k

UTAJUAJE KAMA UNABAWASRI?
Moja wapo ya dalili za bawasri ni pamoja na

1. Kupata maumivu na miwasho kwenye njia ya haja kubwa

2. Kupata choo kgumu sana mda mwingne kinatoka kama cha mbuzi
Hii ni kwa ufupi tu.

Ukitaka kujifunza zaidi nimekusogezea video ambayo utaenda kuisikiliza na kujifunza kwa undan zaidi,chanzo, dalili na njia za kuepukana na tatzo la bawasri.



Video hii ni mhimu sana kwa watu wenye kusumbuliwa na changamoto ya bawasri. Nakukaribisha kuangalia itakusaidia kujua undan wa tatzo la bawasri,Chanzo,dalili, stage, madhara pamoja na njia za kuepukana na bawasri.

KARBU UKAJIFUNZE[emoji120]
 
Umeandika lakini ujaandika how to overcome sasa itakuwaje?

Lakini pia bawasiri inasababishwa na vitu ving je unajua kwanini choo kina kuwa kigumu?

Sababu ya bawasiri ni kukaa na haja kubwa kwa muda mrefu kinyesi ukikaa nacho mda mrefu hakina maji kwahiyo inapelekea kupata choo kigumu na baada ya kupata choo kigumu misuri ya anus inakuwa inabanwa na kinyesi hivyo hupelekea misuri kuvimba na ikipasukua ndio bawasir inakuwa teyari ila kupata choo kigumu sio dalili ya bawasiri iyo ni uongo

Tunashauriwa kula matunda kama tikiti maji mapatachicho ndizi machungwa ili kulainisha choo na kunywa maji kwa wingi hili kuepuka choo kigumu
 
Nataka nijue mtaalam Huu ugonjwa una mahusiano gani na ugumba, mimba kutoka au kuzaa watoto wanafariki?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa mwanamke bawasiri inakuwa inanzia ndani alafu hutoka njee ikitoka njee ndio mtu utambua kuwa anabawasiri sasa kwakua misur ya anus inategemeana na misur ya ume na uke ikishapasuka mtu kukaza kama awali inakuwa ngumu kutokana na maumivu lakin kwa mwanamke hugusa kuta za uzazi

Kuhusu mimba kuhariba au watato kufa zipo sababu nying
 
Tumia mlonge ni dawa nzr, unaweza chemsha majani ukawa unakunywa kama maji ukinywa ikiwa vuguvugu bi nzr zaidi maana haichefui, au ukiweza kula mbegu zake tatu asbh na jioni itakusaidia ila mbegu zinaleta kichefuchefu. Ndani ya wk moja lazima uone mabadiliko na kuisha kabisa. Niamini mimi
 
Ninasumbuliwa na hii shida Kwa muda mrefu naomba mwenye kufahamu dawa tusaidiane
Tuwasiliane
20230930_070921.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa matola kimsingi tuwe wawazi sana hasa kwa mambokama haya ya ugonjwa sasa mtu unaweza kujiuliza maswali mengi sasa huyu ni hg wake na anasema huo uvimbe mgumu niwajuavyo ma hg huwa ni wasiri sana tena hasa kwa maradhi kama hayo ya siri sasa hatujui mwenzetu ana uhuru gani kwa hg wake ni ni bora kama boss no mwana mke ila kama ni mwana kaka duuuuuuu nina mashaka sema tukama ni wewe sema mimi kwani nani haumwi?
😆😆😁😁😂😂🤪🤪🤣🤣😃😃😅😅
 
Back
Top Bottom