cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Oooooh hapo sawaaaa. Nshakuelewaaa.Inaagizwa kutoka china mm nilitumia platform ya kikuu,inakufikia baada ya wiki 3 mpk 4 toka umeiagiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooooh hapo sawaaaa. Nshakuelewaaa.Inaagizwa kutoka china mm nilitumia platform ya kikuu,inakufikia baada ya wiki 3 mpk 4 toka umeiagiza
😅Kukaa kitako kwa muda mrefu
Wakuu habari zenu,
Naomba mwenye kujua dawa ya bawasiri anielekeze kwasababu imenisumbua muda mrefu sana.
Kwa mwanamke bawasiri inakuwa inanzia ndani alafu hutoka njee ikitoka njee ndio mtu utambua kuwa anabawasiri sasa kwakua misur ya anus inategemeana na misur ya ume na uke ikishapasuka mtu kukaza kama awali inakuwa ngumu kutokana na maumivu lakin kwa mwanamke hugusa kuta za uzaziNataka nijue mtaalam Huu ugonjwa una mahusiano gani na ugumba, mimba kutoka au kuzaa watoto wanafariki?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
TuwasilianeNinasumbuliwa na hii shida Kwa muda mrefu naomba mwenye kufahamu dawa tusaidiane
🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪🤪😂😂😂😁😁😁😆Na wakati mwingine tuwe tunasema ni sisi wenyewe ndio tunaumwa, maana kila anaekuja hapa utasikia anamwakilisha mtu ina maana sisi member hatuumwi?
😆😆😁😁😂😂🤪🤪🤣🤣😃😃😅😅Uko sawa kabisa matola kimsingi tuwe wawazi sana hasa kwa mambokama haya ya ugonjwa sasa mtu unaweza kujiuliza maswali mengi sasa huyu ni hg wake na anasema huo uvimbe mgumu niwajuavyo ma hg huwa ni wasiri sana tena hasa kwa maradhi kama hayo ya siri sasa hatujui mwenzetu ana uhuru gani kwa hg wake ni ni bora kama boss no mwana mke ila kama ni mwana kaka duuuuuuu nina mashaka sema tukama ni wewe sema mimi kwani nani haumwi?
Mana ya kuwakilisha ni huyo huyo.Na wakati mwingine tuwe tunasema ni sisi wenyewe ndio tunaumwa, maana kila anaekuja hapa utasikia anamwakilisha mtu ina maana sisi member hatuumwi?