Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

jaman nnaomba kujuzwa kuhusu uvimbe sehemu za siri, ni kama vijipu ila havina usaha vinatuna kwa ndani na kutokeza nje kidogo, mwakajana nlipima syphilis nkaambiwa cna wakanipa madawa hayajasaidia kwa anayejua dawa au ushauri. NB: Vilianza kunitokea kabla cjaanza kushirik sex, na kiujumla mimi cna hzo tabia japo nlishawah kusex na nlitumia kinga.

MziziMkavu
Pole sana ChidyB Daktari ulisha muonyesha huo uvimbe wako? Jaribu nenda tena kaonane na Daktari isije ikawa una Maradhi yanayoitwa BAWASIRI (HEMORRHOIDS) Na Je Choo kikubwa unapata kwa wepesi? yaani unakwenda haja kubwa kila baada ya siku ngapi? hebu nipe feedback.

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri
Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa
Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

786813_f260.jpg

Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)
Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy
Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa. Bawasiri (Hemorrhoids)

Last edited by a moderator:
MziziMkavu Msome vizuri ChidyB sidhani kama anaongelea hemorrhoids cheif complainet yake ni vipele sehemu za siri mimi kitambo nilishawahi kupata mgonjwa wa aina hiyo nadhani mkuu anamaanisha bumpy pimples in pubic area na maranyingi hizi huwa ni HSV type 2 ndio huwa zinashambulia sehemu za siri, HSV type 1 effect yake huwa kwenye lips , Both types of HSV can produce sores (lesions) around the vaginal area .. penis .. anus ... thigh etcl ..

siwezi kuweka conclusion sababu mkuu ahajasema hivo vijiuvimbe vinakuja na maumivu, au muwasho.. etcl.. ambazo ni tabia za Herpes simplex virus
 
yap upo sawa mkuu ila mimi kwangu havina maumivu mpaka ukiminye ndo utajihsi pain kwa mbaali na pia hata panapo pona panabakia uvimbe kwa ndani kama kijinyama hivi
 
yap upo sawa mkuu ila mimi kwangu havina maumivu mpaka ukiminye ndo utajihsi pain kwa mbaali na pia hata panapo pona panabakia uvimbe kwa ndani kama kijinyama hivi

sasa mbona ulikuwa wa zunguka mbuyu mkuu! pole sana then fata maelezo ya MziziMkavu
 
Wewe unahitaji kuonwa na urologist (mtaalamu wa mambo ya uzazi kwa wanaume). Hizi prescription za mtandaoni hazitakusaidia sana zaidi ya kukupa idea ya kinachoendelea, which could be wrong anyway! Nenda hospitali, daktari akuone, akushike na kujua akusaidieje.

Usipuuzie, miaka yote hii 4 si haba!
 
hapana mzizi mkavu amezungu mzia bawasiri kwani kuna bawasiri sehemu za juu ya uume ktk pubic hair? Tafadhali mnijuze

ndo maana nikasema hujaeleweka vizuri.. mimi nilivyokuelewa una viuvimbe kwenye pubic hair .. mzizimkavu akakupa explanations za bawaziri ndio maana nikamwambia sidhani kama hilo ndilo tatizo lako sikuona main cheif complaint ya bawaziri ukiitaja .. anyways .....

so una viuvimbe kwenye pubic hair .. iight..??!
 
yap ni kwenye pubic hair
 
hapana mzizi mkavu amezungu mzia bawasiri kwani kuna bawasiri sehemu za juu ya uume ktk pubic hair? Tafadhali mnijuze
Inatakiwa ukisema basi sema wazi usimuogope mtu hapa Waswahili wanasema kila mficha uchi huwa hazai sasa wewe sema wazi usifiche fiche kitu. Kwani ukisema sehemu za siri inaamanisha sehemu za uchi Tigo

ndio huwa kunatokea uvimbe sasa wewe unaficha badala ya kusema wazi unamuogopa nani mkuu ChidyB? Mimi

nimekisia tu kwa maelezo yako uliyoyatoa inatakiwa useme wazi jamani kwenye Uume wangu kumetokea vipele au uvimbe

ambao sio wa kawaida tungelikuambia nenda kamuone Daktari akuangalie nini kinachosababisha uume wako utoke vipele au kuvimba? Siku ingine usifiche Tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wote.
Mwenye uelewa wa haya mambo kwenye topic apo juu atujuze,chanzo,na tiba zake
binafsi naelewa kidogo ni nyama zinazotokeza nje mwanzon zikiambatana na maumivu au hata damu kutokana na kupata choo kigumu sana na pia kwa wamama wajawazito,ikizidi hubii vinyama hivo kukatwa.
Sasa nauliza je vinaweza kurudi na kuwa hali ya kawaida bila dawa?kama ndio kwa muda gani?
Kuna vitu asilia vya kurudisha?
Na dawa za hospital je?na zitumikavyo.
Asante
 
Hilo tatizo ni la kawaida sana muone dr samson kibona au dr Aizaki ndodi wana dawa hizo,wana ofisi dar.watafute.
 
Ndugu yangu hili tatizo lipo sana na binafsi nililipata, mwanzoni nilikuja humu nikapata ushauri ila bado halikuisha, kuna dawaitwa Anusol nazo hazisaidii... kiujumla dawa za hospitali haziwezi kukusaidia hii ishu. sijui uko mkoa gani but kama uliko kuna migomba basi maji maji ya kwenye mgomba ndo dawa ya hii kitu.. unakamua yale maji ya kwenye mgomba na kuweka kwenye ******.. ntafufua moja ya threa ambayo ilikua na ushauri mzuri sana kuhusu hii ishu. pole sana mkuu

Habari zenu wote.
Mwenye uelewa wa haya mambo kwenye topic apo juu atujuze,chanzo,na tiba zake
binafsi naelewa kidogo ni nyama zinazotokeza nje mwanzon zikiambatana na maumivu au hata damu kutokana na kupata choo kigumu sana na pia kwa wamama wajawazito,ikizidi hubii vinyama hivo kukatwa.
Sasa nauliza je vinaweza kurudi na kuwa hali ya kawaida bila dawa?kama ndio kwa muda gani?
Kuna vitu asilia vya kurudisha?
Na dawa za hospital je?na zitumikavyo.
Asante
 
Habari zenu wote.
Mwenye uelewa wa haya mambo kwenye topic apo juu atujuze,chanzo,na tiba zake
binafsi naelewa kidogo ni nyama zinazotokeza nje mwanzon zikiambatana na maumivu au hata damu kutokana na kupata choo kigumu sana na pia kwa wamama wajawazito,ikizidi hubii vinyama hivo kukatwa.
Sasa nauliza je vinaweza kurudi na kuwa hali ya kawaida bila dawa?kama ndio kwa muda gani?
Kuna vitu asilia vya kurudisha?
Na dawa za hospital je?na zitumikavyo.
Asante

Kama unapata maumiv makal, una tatizo la kukosa choo hayo maradh yanaitwa BAWASILI (haemoroid/pills) ni ngumu kupona kwa dawa za hospital, ukienda hospital utaambiwa ufanyiwe opereshen ukatwe. Kama utapata dawa za mizizi (dawa za asili) ili upate kunywa ni vzur zaid, wah mapema matibabu ukichelewa yatakua sugu
 
Habari zenu wote.
Mwenye uelewa wa haya mambo kwenye topic apo juu atujuze,chanzo,na tiba zake
binafsi naelewa kidogo ni nyama zinazotokeza nje mwanzon zikiambatana na maumivu au hata damu kutokana na kupata choo kigumu sana na pia kwa wamama wajawazito,ikizidi hubii vinyama hivo kukatwa.
Sasa nauliza je vinaweza kurudi na kuwa hali ya kawaida bila dawa?kama ndio kwa muda gani?
Kuna vitu asilia vya kurudisha?
Na dawa za hospital je?na zitumikavyo.
Asante

Usisahau kufuata miko wakat wa ku2mia dawa, vitu vikali, pilipili na nyama viepuke kabisa
 
Back
Top Bottom