Mkuu nyumbu wakiona wamekosa namna ya kumtaja Jembe wanaamua kuanzisha uzi wowotetu matokeoyake ndio kama unavyoona mwanzo hapo juu anaanzisha uzi alafu anaanza kuchangia hoja mwenyewe. 😁😁😁😁Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!!!!!
Tatizo watanzania wengi sana hatujielewi tunapenda sana kuropoka kwenye mitandao. Hii mitandao ya simu ilivyoingia TZ ilikua inapata over profit kutokana na mifumo iliyokuepo hususan Tax Holidays huku Serikali ikipata kiduchu sana. Kwa mfano Tigo ilianzia Buzz. Airtel ilianzia tritel n.k. miaka yote hiyo yalikua yanatengeneza faida mpaka Bil. 300 kwa mwaka. Wakimaliza wanabadilisha majina wanajidai wamepata hasara wameuza kampuni, kumbe ni walewale.Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Baada ya miaka kupita, sijui mtakua mnamlaumu nani? The good thing Magu ameondoka lakini ameiacha Serikali ikiwa inajitosheleza kimapato kuliko utawala wowote uliopita.Nimeona clip kwa Kigogo ni kweli wafanyakazi wamesitishiwa ajira huku hawana uhakika wa kulipwa haki zao. Wafanyakazi wanadai haki zao.
Kweli Magu bora tu kaenda.
Upumbavu mtupu,Watanzania tuko vizuri tutembee vifua mbele! Never again to let a dictator, horrible person, much know and murderer to see the inside of the State House. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana kwa kuinusuru nchi yetu.
Muache apumzike kwa amani pambana na walio haiMwenda zake aliteketeza uchumi wa nchi kikatiri sana !
Mkuu tuombe Mungu atuweke hai! Hawa tutawakumbusha.Baada ya miaka kupita, sijui mtakua mnamlaumu nani? The good thing Magu ameondoka lakini ameiacha Serikali ikiwa inajitosheleza kimapato kuliko utawala wowote uliopita.
Huyo huwa anaongeaga kishabiki....Ingekuwa jambo jema kama ungetupa taarifa kama baada AAR kufunga na kuondoka labda kuna upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya kuliko kuleta uchochezi wa kishamba.
Mwingine huyu hapa badala ya kutoa ushauri nini kifanyike wanabaki kulia kama watotoNimeona clip kwa Kigogo ni kweli wafanyakazi wamesitishiwa ajira huku hawana uhakika wa kulipwa haki zao. Wafanyakazi wanadai haki zao.
Kweli Magu bora tu kaenda.
Sio kwamba sababu ni watu hawaumwi tena? Pia yawezekana ushindani umeongezeka kwenye bima ya afya.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Hiyo tabia mnayo nyie wana ufipa!Uyo mnaemuabudu alikuwa anapizi kwenye masaburi yenu nini!!!? Maana mmekuwa mandondocha
Mpango wenyewe ni katiba mpya tu yaani raisi lazima awe responsible kwetu raia sababu sisi ndio waajiri wake....Kama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?
Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.
Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
AAR walifwli kutokana na business model Yao wenyeweHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
nasikitila kuwaita nyumbu.Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Kabla ya kushabikia jambo tafuta japo kidogo ukweli kuhusu jambo hilo. Tigo na Zantel kwanza ni watoto wa kampuni moja; kampuni hiyo imeamua kufunga shugjuli zake Africa nzima na walikuwa wamebakiza Tanzania tu. Hivyo kuondoka kwao kuliishapangwa, wameamua kujikita Amerika ya Kusini ambako asilimia zaidi ya 80 ya mapato yao ndiko yanakopatikana.Taarifa ni ya muda mrefu hii,kama sikosei zaidi ya Mwezi. Huku Tigo ( na Zantel) wanaondoka wanauza kampuni
Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Mama ana kazi nzito sio kidogo na itachukua miaka 10 mpaka 20 kurudi katika hali ya kawaida ya mwanzo
Wewe ni mgeni hapa nchini au unauliza swali kishabiki! Ina maana Tigo hawajawahi kukudhulumu!?Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Wewe unafikiri viwanda vinauawa na nani, kama sio mtanzania mwenyewe? Si umeona mfano wa shirika letu la Mabasi ya Mwendo Kasi lilivyo kuwa likiuliwa? Kweli mkurugenzi alikuwa nani? Si matanzania mwenyewe? Je amelifanyia nini shirika hilo? Yeye badala ya kuliboresha hilo shirika likaendelea zaidi ili kutoa ajira kwa vijana, mtanzania kwa kuendekeza maslahi binafsi, ndiyo kwanza anaamua kulifirisi shirika lake mwenyewe, ambalo lina mnufaisha yeye mwenyewe na familia yake.Na kwa Kauli ya Mama kuwa Yeye na Mtwaliwa ni Kitu kimoja na kwamba atapita mule mule tu kuna Uwezekano hali ikaendelea kuwa mbaya zaidi.
Wachumi wabobezi wanahitajika Kumshauri Mama juu ya kuweka Mizani sawa katika Ujenzi wa Miundombinu na kurejesha Uchumi Rafiki kwa Wananchi na kupunguza tatizo Kubwa la Ajira nchini kwa sasa.
Nchi itakuwaje na Maendeleo na Uchumi mzuri kama 85% ya Graduates na Intellectuals wake hawana Ajira na wapo tu Mitaani?
Sisemi Serikali iajiri ila iruhusu Wawekezaji wengi ( ambao bahati mbaya walikimbia nchini ) wawekeze zaidi ili Ajira zaidi zipatikane na Serikali kupitia TRA isiwakomoe katika Kodi kama ilivyokuwa.
Kuwe na Sera Maalum kwa Benki nchini za Kuwakopesha kwa Riba nafuu kabisa na za muda mrefu Wahitimu wa Vyuoni ili waweze Kujiunga na Kuchukua Mikopo hiyo kisha Wajiajiri.
Elimu ya Tanzania ifanyiwe marekebisho na iwe sana ya Technical Based ili kuendana na dunia ya sasa ambapo itasaida Watu ( Wahitimu ) wengi kuwa Wabunifu na hata kuweza Kujiajiri wenyewe.
Hata Serikali yenyewe pia ili Kupunguza hili tatizo la Ajira na kutaka Kujiimarisha Kiuchumi inaweza ikaanzisha Mkakati Maalum ( hata wa Kuingia Ubia ) na Matajiri wakubwa na Wakavifufua Viwanda vyao vyote nchini ambavyo vilikuwa vinaajiri Watu wengi na hii itasaidia sana tu.
Rasilimali zote za Tanzania zikisimamiwa vyema na tukaacha Upuuzi na Uswahili Uswahili wetu tuliouzoea huku Sera za Kukuza na Kuimarisha Uchumi wa Mtu na wa Taifa zikizingatiwa Tanzania itapaa na Wananchi nao 24/7 watakuwa na Tabasamu Nyusoni mwao kwakuwa Mifuko yao itakuwa hainuni na uhakika wa Kipato kuwepo.
Mama mbona tumeingia uchumi wa kati na UN wamemsifia amefanya kazi nzuri. Hukumsikia Antonio Gutteres? Usikariri kishamba.Mwenda zake aliteketeza uchumi wa nchi kikatiri sana !
Mwenda zake aliteketeza uchumi wa nchi kikatiri sana !